ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,367
- 89,783
Nchi ya maziwa inafanya importation ya Maziwa na Mayai kutoka nchi ya njaaππSi huwa mnasema mnatulisha? Inakuwaje tena mnaimport maziwa, mayai na biskuti kutoka Kenya? Land of milk and honey na mnaimport hayo hayo maziwa?πππ
MpTulia pole pole usaidie shirika lako kukunywa hasaraππHayo mambo wanafanya hapo KQ ni exotic accounting utajulia wapi wewe mkibera.
Hata kusoma siku hizi hujui?mumepungusa hasara sio kupata faida mzee jua kutofautisha mambo πππ
Yani even after Serikali trjed to manage ATCL losses by giving them Tsh 100B bado wamepata tu hasara?Miradi ya kina ichoboy01 hii ππππ
View: https://www.instagram.com/p/DHsp5CRKKaZ/?igsh=MTEybHc3c3YzN3h5ZQ==
ATCL
View: https://www.instagram.com/p/DHsrI3nsyDH/?igsh=MXZwaWcyNWg3aWs0ZA==
1. You need English classes if you can't define food.Maziwa ni beverage! Na unless unatuhakikishia hakuna maziwa yanaingia kenya toka nchi jirani, ulichoongea ni ujinga!
Hata wewe rudi shule. Before that, nunua hapo maziwa ya Kenya uteremshie biskuti ya Kenya alafu baadaye ukaange mayai ya Kenya ule.Hayo uliyosema sio chakula ni biburudisho
πππNchi ya maziwa inafanya importation ya Maziwa na Mayai kutoka nchi ya njaaππ
Na pia atafute smockies/Sausages za Kenya aende akakuleHata wewe rudi shule. Before that, nunua hapo maziwa ya Kenya uteremshie biskuti ya Kenya alafu baadaye ukaange mayai ya Kenya ule.
πππππππ
Yani wanajidunga mishale wenyewe. ππ
πππMiradi ya kina ichoboy01 hii ππππ
View: https://www.instagram.com/p/DHsp5CRKKaZ/?igsh=MTEybHc3c3YzN3h5ZQ==
ATCL
View: https://www.instagram.com/p/DHsrI3nsyDH/?igsh=MXZwaWcyNWg3aWs0ZA==
BaaasπNa pia atafute smockies/Sausages za Kenya aende akakule
βCAG imesema hasara hiyo imechangiwa na kupungua kwa mapato ya usafirishaji kutokana na uhaba wa vichwa vya treni na mabehewa pamoja na mvua kubwa iliyosababishwa kufungwa kwa njia kwa miezi minne.βMiradi ya kina ichoboy01 hii ππππ
View: https://www.instagram.com/p/DHsp5CRKKaZ/?igsh=MTEybHc3c3YzN3h5ZQ==
ATCL
View: https://www.instagram.com/p/DHsrI3nsyDH/?igsh=MXZwaWcyNWg3aWs0ZA==
Hiyo loss ni ya SGR piaπππ.βCAG imesema hasara hiyo imechangiwa na kupungua kwa mapato ya usafirishaji kutokana na uhaba wa vichwa vya treni na mabehewa pamoja na mvua kubwa iliyosababishwa kufungwa kwa njia kwa miezi minne.β
Naona chawa umekimbia kupost ukidhani ni SGR. πππ
tanzania financial year inaanzia tarehe 1/7/ year mpaka 30/6/ ya mwaka unaofuata. sgr oparation imeanza july ya 2024 kwa hiyo haiwezi kuwa katika report ya 2023/2024 kwa sababu mwaka wake wa fedha au report yake itakuwa kwenye report ya 2024/2025Hiyo loss ni ya SGR piaπππ.
Ama siku hizi SGR is not part of TRC?
Kawaingiza mkenge mpaka wanusa gundi wakadhani ni sgr, walivyo hawana akili wameshindwa hata kuelewa "......iliyosababisha kufungwa kwa njia kwa miezi minne"βCAG imesema hasara hiyo imechangiwa na kupungua kwa mapato ya usafirishaji kutokana na uhaba wa vichwa vya treni na mabehewa pamoja na mvua kubwa iliyosababishwa kufungwa kwa njia kwa miezi minne.β
Naona chawa umekimbia kupost ukidhani ni SGR. πππ
faida ya sgr haio katika report tajwa kwa sababu sio mwaka wake wa kureport. mwaka wake itakuwa 2024/2025., ukaguzi wake huwa unaanza baada ya mwaka wa fedha kuisha , ambapo mwaka wake wa fedha bado haujaisha , utaishia 30/6/2025Kawaingiza mkenge mpaka wanusa gundi wakadhani ni sgr, walivyo hawana akili wameshindwa hata kuelewa "......iliyosababisha kufungwa kwa njia kwa miezi minne"
Kwa kifupi faida inayotoka sgr ndiyo inaendesha shirika kwa sasa.