chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,740
- 46,079
Kuna island ambayo ni mainland? We taahira kama elimu yenuMafia Island iko Indian Ocean.
Hakuna any Island in Tanzania mainland that has tarmacked roads.
Hili ni ghala sio industrial park
kwani montave na pinnacle hazikufanyiwa ground breaking?? πππSo hiyo tweet ya Ground breaking hujaona ama? Mnaumia sana na maendeLeo ya Kenyaπππ
Hizo affordable housings tu almost zote ni waarabuThis is a $3B project done by Kenyans.
Actually currently most big projects in Kenyans zinafnywa na wakenya.
hvi railway city iliishia wapiπππ
wow nice render ππππ
yes asante kwa render ππππ 3b ya kwenye ndoto za mchanaThis is a $3B project done by Kenyans.
Actually currently most big projects in Kenyans zinafnywa na wakenya.
Hakuna hela yoyote government yao itatoa sababu hata chakula chenyewe ni msaada wa China ππ
Solution za Ganda la Ndizi as usual hakuna jipya.
Hiyo $8B umeipataje? Tujuavyo mradi wa mwisho wa USD B mlifanya ni Ngija ngija na matokeo yake ni madeni yasiyolipika.Do you a $8B project ni mchezo. That project alone is bigger than all the ongoing projects in Tanzania.
Eti sisi tumezoea Kenge wewe mpaka Cartel Nzima inaweka Lab huko Ukunyani hawakuiona Tanzania?Viongozi ndio walimwambie apeleke dawa za kulevya Vietnam? Yani nyinyi watanzania mmezoea kuuza dawa za kulevya hadi mnaiona tu kawa kitu cha kawaida.
Tulikuwa tunangoja wewe upost na kweli umeposti. Hapo vipi?π
nazungumzia miradi mpaka ile ya private ya kina railaHiyo $8B umeipataje? Tujuavyo mradi wa mwisho wa USD B mlifanya ni Ngija ngija na matokeo yake ni madeni yasiyolipika.
Teargass NairobiWalker mtueleze ufafanuzi why chakula ndio kinawanunua wananchi, na wananchi wenyewe wapo ndani ya DATA NYINGI MNAMWAGA humu.
Kudadeki, MCHINA wanayemsema wa Bongo kumbe ndie anawasaidia kuishi? π€£π€£π€£Hakuna hela yoyote government yao itatoa sababu hata chakula chenyewe ni msaada wa China ππ
View attachment 3278829View attachment 3278830
Safe sn mkuu, huo ndiyo ubinadamu.