You are only selecting comments which flexes your ego. Mbona hujaweka hii? Alafu Ebu tuonyeshe hiyo larmboghini mko nayo hapo Vumbistan.
View: https://x.com/Urunzii/status/1901360425544921225
Sasa GTR moja ndio mnatupita nayo kelele? Hizo ziko mingi sana Kenya.
Haya ndiyo mambo ya maàna siyo chanjo za mRNA za malaria.
Siongeangi kitu sijui, hio hua tabia ya bongolala.
View: https://www.instagram.com/reel/DGDoB62M7VH/?igsh=ODVxbm1uZDZjc2wwInaonekana hata quarter glass huijui
Lilirudishaje, mbona hakuna magari mengi yanayopita pale?uongo mtupu hili daraj lilishakusanya pesa nyingi sana zaidi ya hapo na lilisharudisha pesa yake muda mrefu na litakiwa hvi sasa bei zipungue kabisa gari ndogo zilipe 500 kutoka 1500, lorry zilipe 10,000 kutoka 25,000, daladala zilipe 3000 kutoka 7000, wawapunguzie mzigo watanzania pooo🗑️
Why are you stalking me?.. am I a celebrity here since a few of y’all seem obsessed with my great stature … last time You run away when I asked you whether you were sexually molested by a priest as an altar boy … You surely do show all the symptoms they speak of … Find another shoulder to cry on or find a confession box ..😄😄Bwaku ngaji baada ya kulipiga spana za kutosha,leo naona linalike post tu View attachment 3274480