Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wakenya wanakam hapo ni professionals pekee..kazi mingi hulemea watzdi
Wamejazana wakamba wenhi sana wanajishughulisha na kilimo cha maharage na vitunguu, tembea uje uone wenzenu huku vijijini, hapo Longido peke yake yalirudishwa jumla ya ttactors 200 za wakenya pekee.
 
Umeniburudisha. Ngoja tuone Nikon d 3300 hahaha
 
Wamejazana wakamba wenhi sana wanajishughulisha na kilimo cha maharage na vitunguu, tembea uje uone wenzenu huku vijijini, hapo Longido peke yake yalirudishwa jumla ya ttactors 200 za wakenya pekee.
ata huku kenya watz ni wengi sana kazi yao omba omba
 
Tanzanite imeanza chimbwa juzi tu.. Its unpopular like silver and gold.. But its value.. Oooh boy!

Kibaya chajitembeza chema chajiuza.. Sisi ni kama huduma ya Umeme/power.. Utatafuta..tuu.. Tujitangaze tusijitangaze. You will come.and will know us.

Tunajitangaza nini.hao wakija Kenya mountain Kilimanjaro mnawapeleka wapi?! When they leave wanajua Kilimanjaro IPO wapi tena...??? .... Eeewaaa (Tanzania). Safi kabisa.

We are just like your rich neighbor ... He doesn't have to shout where he lives.. You will just use him as a reference. (Sisi Wakenya Tu karibu na Kilimanjaro Tanzania hapo.kwa juu kidogo) in [HASHTAG]#churchill[/HASHTAG] voice.
 
Nilikwambia kitambo tuu, watu wa maana wenye pesa zao na ushawishi duniani wanaijua Tanzania nyinyi endeleeni na misifa ya kujulikana na vijitu vidogo vidogo huko twitter.
 
Nilikwambia kitambo tuu, watu wa maana wenye pesa zao na ushawishi duniani wanaijua Tanzania nyinyi endeleeni na misifa ya kujulikana na vijitu vidogo vidogo vinavyoshinda twitter.
Tujitangaze kwan tuna shida ya kujitangaza...wakenya lazma mjulikane coz hakuna nchi iliyo na njaa afu isifahamike watapataje msaada wa chakula ???lqzma wapige kelele wapate msaada
 
Tujitangaze kwan tuna shida ya kujitangaza...wakenya lazma mjulikane coz hakuna nchi iliyo na njaa afu isifahamike watapataje msaada wa chakula ???lqzma wapige kelele wapate msaada
Yaani baada ya Rais kusafisha safisha nakuhakikishia itakapofika kwenye 2021 hivi, utaniambia Tz itakavyo pepea. Si kwenye utalii, barabara, ndege, elimu, Afya, reli, gesi, mawasiliano, n.k hawa jamaa watafura kweli kweli.
 
Watasepa humu mbona ...nachopendea tz nchi yangu ni kwamba tunafanya mega project nyingi kwa wakati mmoja cku zikiisha kuna watu watachange id humu na kujiita watz nyie subirin tuuu
 
Huko kwenye mbio mmetushinda walaaaaa hatukatai sababu watanzania hatuwezi shindana mbio na wezi ....et jamani ulishawai ona wapi mwizi hana mbio??? Wezi wote wanajua mbio na ndio kinachowaokoa mabwege nyie
 
MAGICAL KENYA.........................SPORTS & ADVENTURE EDITION

ATHLETICS:Olympics,World City Marathons,Commonwealth Games,All African Games,World Under 18s Champions

MAGICAL KENYA.........................SPORTS & ADVENTURE EDITION

GO KARTING (Track circuit/Off-Road: Nairobi,Nakuru,Mombasa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…