kwa kiswahili hicho nikwambie tu asante na karibu jamii forum ππππMi mtanzania nilishawahi kua nairobi myaka kadhaa nyuma.
Si sawa ku compare Dsm na Nairobi by either means.
I'm not a traitor. But they are far miles compared to us dudes.
Labda to compare some parts. Ila kwa overall big no.
Labda tuongee tu kufurahishana.
Why hasn't Wajackoyah been seen in 'his new' Tesla car in Kenya?And who said they do?
makampuni ya serekali yakufanya hvo yapo mengi tu kaka, kuna suma jkt, NHC, wakala wa majengo, tanroads etcHapo ishu ya misplaced priority naona ina mashiko. Ndio changamoto kwa Nchi zenye uchumi mdogo kama huku kwetu.
Kwa ishu ya kulipa mradi mkubwa kwa installments ni jambo zuri. Naona wangewekeza kwenye utaalam wa watu na mitambo. Ipatikane kampuni kubwa ya serikali iwezeshwe. Ndio iwe inapewa tenda kubwa kubwa za miradi ya serikali.
Tukiwa na kampuni kubwa za wazawa hapa ndani ndio inakuwa vizuri zaidi. Ni kuingia makubaliano na kazi kufanyika. Shida kampuni za nje hizo mambo ni mengi sana.
We kenge unajua akili yako sio vyombo vya wageni usiogope kuitumia.Kwa hivyo huko bongoslum kupanda ndege ni achievement kubwa, lazima mtu apige picha.
Alafu tukisema mnafatilia masuala ya Kenya like your lives depend on it mnakasirikaso kuna MOU ya raila na ruto
UDA and ODM ππππππ»ππ»ππ»
View: https://x.com/citizentvkenya/status/1897936555353776236?s=46
makampuni ya serekali yakufanya hvo yapo mengi tu kaka, kuna suma jkt, NHC, wakala wa majengo, tanroads etc
na ya binafsi ndio mengi zaidi
Kitu watu hawaelewi kuna mikopo ikitolewa huwa mtoa mkopo anakuchagulia hadi mkandarasi.Ndugu, hayo makampuni ya serikali yamefanya project ipi kubwa ya mfano hadi tuwaweke mezani kwamba wanaweza?
Kuna kampuni yenye viwango vya Estim hapa ndani? Kwa ukubwa wa hiyo miradi sidhani kama kuna kampuni ya ndani hapa itakayoweza. Zaidi sana watapewa kazi na wao wauze kandarasi kwa kampuni kubwa za nje. Hii ni kuongeza gharama maradufu na kupoteza muda tu.
Kwa hiyo na police nao wanashiriki kuchoma moto au ni mimi sielewi nini kinaendelea πππ uwakute sasa wakundustan wanasifia majeshi yao πππππππ jahannam ya duniani
View: https://x.com/ntvkenya/status/1897946181885440300?s=46