Yet we received the same revenue as your country.Kundustan ππ π π
View: https://x.com/AfricaFactsZone/status/1896195836863717499?t=bTocn7GXOAoA2dtUMHORUA&s=19
Mmekuwa visited na watu 5.36M na international total airport passengers (both leaving and entering and both international and local) hawafiki 5M, kwani hao tourists walikuwa wanaingilia wapi.π€£π€£ Hii ndio shida ya kutumiwa Twitter kama source of information.Kundustan ππ π π
View: https://x.com/AfricaFactsZone/status/1896195836863717499?t=bTocn7GXOAoA2dtUMHORUA&s=19
ππππππππππππKosoa bila ghadhabu shida Iko wapi ? Na wewe kosoa acha kujifanya unajua
kama inauma nambie nichomoeππBarabara za vumbi ndio unatupigia nazo kelele?
Wameanza kupika data πMmekuwa visited na watu 5.36M na international total airport passengers (both leaving and entering and both international and local) hawafiki 5M, kwani hao tourists walikuwa wanaingilia wapi.π€£π€£ Hii ndio shita ya kutumiwa Twitter kama source of information.
Kundustan mna akili ndogo sana kuhusu concept ya Utalii ππMmekuwa visited na watu 5.36M na international total airport passengers (both leaving and entering and both international and local) hawafiki 5M, kwani hao tourists walikuwa wanaingilia wapi.π€£π€£ Hii ndio shita ya kutumiwa Twitter kama source of information.
kwann idadi ya watalii wa nje imezidiwa sana namna hio kuna shida gani???Kundustan mna akili ndogo sana kuhusu concept ya Utalii ππ
View: https://www.instagram.com/p/DFhajv-N47p/?igsh=dDV4YjEzM2lxMWV6
Kwa sababu Watanzania mama ameimarisha kipato Cha Watanzaniakwann idadi ya watalii wa nje imezidiwa sana namna hio kuna shida gani???
kipato gani watu wanajinyonga kwa ugumu wa maisha huko morogoroKwa sababu Watanzania mama ameimarisha kipato Cha Watanzania
Kwa sababu Watanzania Sasa wanaelewa kwamba Utalii sio kusubiria wageni.
Mwisho African Countries ndio zimechangia watalii wengi zaidi kwenye namba hiyo ya Watalii wa Nje.
Ni lini watu walikuwa hawajinyongi?kipato gani watu wanajinyonga kwa ugumu wa maisha huko morogoro
hao watalii wa nje ya africa wanenda wapi?? hua tunatangaza utalii kwa billions of money kwa dunia gani ?? πππ au dunia hii bara pekee ni africa vp kuhusu mabara mengine yenye watu wanaojua maana ya utalii na wenye kujua kutumia pesa kisawasawa
International tourists are more than total airport PAX in their country for both international and local travelers.ππMmekuwa visited na watu 5.36M na international total airport passengers (both leaving and entering and both international and local) hawafiki 5M, kwani hao tourists walikuwa wanaingilia wapi.π€£π€£ Hii ndio shita ya kutumiwa Twitter kama source of information.
Barabara zote ni vumbi. Yani nyinyi mambo ya lami mliombana nayo msamaha?watu wamejenga tegeta ππ»ππ»
View attachment 3256033
Unataka kuchomoa barabara za vumbi ama?kama inauma nambie nichomoeππ
madini yanaeleweka aliefanya mageuzi makubwa sana leo hatuskii tanzanite inatoka india au kenya ππππ haya ni matunda ya jembeNi lini watu walikuwa hawajinyongi?
Kipato kimeongezeka kutoka hapa π π
View: https://x.com/zittokabwe/status/1896114062439616572?t=ogqh6mQtl-ibmzBSwleA6Q&s=19
Hakuna kitu mama amegusa kimebuma ,yaani nyie hadi msalimu amri π π ππ
View: https://x.com/zittokabwe/status/1896110605058101278?t=Ee2UW3hIfqH7pJBZ0R6w0g&s=19