Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Hapa hakuna foundation hata ya 10 floors buda let alone hizo 20 floors. π€£π€£π€£Over 12 towers of 20 floors each!!! ππππ
Buxton Point phase 2 in Mombasa is taking shape
View attachment 3253384View attachment 3253385
Rudia sasa kwa upole. Only this project, and Mombasa overtakes Darusitudanganye hapa kenge ww hakuna floors za 20 hapo buxton wala hakuna ujenzi wa 20 floors hvi ww unajua 20 floors hua ujenzi unajengwaje???πππππ
Sasa unabisha clinker ilikuwa inazalishwa na kupelekwa ARM cement Kenya kuzalisha cement! Kiwanda cha cement Kenya kimeuzwa pia kwa National cement company!nishakuelewa ila nakwambia hvi huwez kuzalisha clinker kama huna ndoto ya kuzalisha cement labda unambie tu kua hawakufunga mitambo ya kuzalisha cement full stop
Ugliest mabanda, yapo holela tu no order, detention unitsRuiru affordable housingView attachment 3253451
Sasa kwenye hii renda kuna jengo gani hapo ni 20 floors.? π€£π€£π€£Rudia sasa kwa upole. Only this project, and Mombasa overtakes Dar
View attachment 3253453View attachment 3253454View attachment 3253455
hio phase 2 buxton ni three 3 floors ππHapa hakuna foundation hata ya 10 floors buda let alone hizo 20 floors. π€£π€£π€£
hvi ww foundation ya 20 floors unaijua inavokaa?? πππππRudia sasa kwa upole. Only this project, and Mombasa overtakes Dar
View attachment 3253453View attachment 3253454View attachment 3253455
Uko wrong, kiwanda kilianza uzalishaji wa saruji tangu 2021.Kilikuwa kinazalisha clinker tu saahii kinazalisha cement!
Ni ukweli mkuu, saruji za huanxi nimekutananazo bunda on my way to musoma 2023 na nilipostigi humu nakumbuka.Uko wrong, kiwanda kilianza uzalishaji wa saruji tangu 2021.
Alichozindua Mh Rais ni upanuzi wa kiwanda.
Hujakutana na saruji za Huaxin mtaani mzee!
View: https://x.com/mbelwak/status/1463061431960563714?s=46
Huna hela tu, ungekua nazo za kuzidi hii ungeona kama a coffee price ila wakenya hamna hela wala hata artistic talent kufika hizi levels, mngekua huku hata Chris brown asingeditch show ila sasa event planning industry kwenu ni mfu mmejifungia kwenye mabanda ya bati mnasema mnataka simplicity πππHuo upuzi wa kiafrika ndio unataka tuige? Huu upuzi utaupata nchi za ushuzi kama Nigeria na Tanzania. A wedding should be as brief as possible. Invite less than 50 people and get your wife.
Kuwa makini mkuu, utauziwa mbuzi kwenye kiroba, wakenya washamba sn π€£π€£π€£π€£π€£Ugliest mabanda, yapo holela tu no order, detention units
Kijamaa kinakomaa kutuelezea eti hatujastaarabika, kumbe the big problem kwao ni hela. na wapo hapa kujipiga kifua kuhusu pesa. πHuna hela tu, ungekua nazo za kuzidi hii ungeona kama a coffee price ila wakenya hamna hela wala hata artistic talent kufika hizi levels, mngekua huku hata Chris brown asingeditch show ila sasa event planning industry kwenu ni mfu mmejifungia kwenye mabanda ya bati mnasema mnataka simplicity πππ
View: https://www.instagram.com/reel/DGleEUCsb15/?igsh=YzZwYnR6azZpODJy
Wapumbavu kweli ππ wao mradi nyumba zimepandiana basi wanahisi kisa wanapanda ngazi kuingia ndani kama mzungu basi hayo ndio maisha ππKuwa makini mkuu, utauziwa mbuzi kwenye kiroba, wakenya washamba sn π€£π€£π€£π€£π€£
Kanasema hawataki big things wakati wapo obsessed na supercars wapo obsessed na mansions, wapo obsessed na high rise buildings ila kwenye big social events ndio simplicity inatafutwa kuficha ufukara πππKijamaa kinakomaa kutuelezea eti hatujastaarabika, kumbe the big problem kwao ni hela. na wapo hapa kujipiga kifua kuhusu pesa. π
Yo, let me tell you something my brother, bongo watu wanazo pesa. Na hatuna jambo dogo. Kuanzia washua hadi uswahilini huko. π
Kuna upanuzi umefanyika from 4500 tones a day to 6000 tones a day!Uko wrong, kiwanda kilianza uzalishaji wa saruji tangu 2021.
Alichozindua Mh Rais ni upanuzi wa kiwanda.
Hujakutana na saruji za Huaxin mtaani mzee!
View: https://x.com/mbelwak/status/1463061431960563714?s=46
Hivyo vitu zote huwa wanashangiliaga ni za foreigners mostly, events za kwao huezi ona, them all broke π€£π€£π€£. Ndio mana anatafuta kivuli ya simplicity.Kanasema hawataki big things wakati wapo obsessed na supercars wapo obsessed na mansions, wapo obsessed na high rise buildings ila kwenye big social events ndio simplicity inatafutwa kuficha ufukara πππ
Hutawahi kuona hili jambo bongoUfukara iliopo Kunyaland hawa watu wapo zaidi ya million 70 sio 58 kama wanavyosema
View: https://x.com/MoraraKebasoSnr/status/1895167853692653734?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1895167853692653734%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=