ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,455
- 89,878
Nili post streets za moshi, ukaulizia roads markings sahii unapost hizi za kisumu zenye ni tope. 🤣🤣Kisumu
![]()
Kwaiyo ni sawa alivyomwambia usipokubalina naye hatafadhili miradi ya jimbo lakeYou call that dictatorship?…. In America , we call it a healthy democracy..😂…The Maine Governor responded back in kind and she wasn’t thrown out of the White House or arrested…. Dictatorship is arresting your opponents…
mg 100 ndio nn?Mambo kama haya mantiki yake ni ipi hasa? Kwamba tunumue Mg 100 za kazi gani? Tanzania seeks nod to import Ethiopian electricity through Kenya
Soma linkmg 100 ndio nn?
wacha wivu the topic of today ni international airports zenu!Si huwa mnasema assembly ni packaging? Mbona hii hamsemi hivo. 😂
Nimesoma sijaona mg!Soma link
From hamtajenga uwanja to hamtoweza kuhost AFCON to AFCON ikiisha hamtoweza kumaintain viwanja. I love how you keep adjusting your expectations.🤣Afcon ikiisha kuna viwanja vitakuwa hivi baada ya muda. 😂😂😂
www.facebook.com
kwani kasema viwanja vya Kenya? wacha inferiority complex! Afcon 2027 inashirikisha Tanzania na Uganda pia! Au unajijua tayari kuhusu hii maneno?From hamtajenga uwanja to hamtoweza kuhost AFCON to AFCON ikiisha hamtoweza kumaintain viwanja. I love how you keep adjusting your expectations.🤣
Aisee!! 🤔🤔🥲🥲🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
View attachment 3245066
🚮🚮Nimesoma sijaona mg!