Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pumbavu wewe kwenda zako huko, nyie mpo ladhi muongope ili muonekane mpo juu, eti "tuliandikia maraisi emails" ili iweje? Wapi hizo emails, tuonesheni hizo emails, si mlikuwa mnabisha hapa kwamba Raila atashindwa vby? Leo mmeshindwa ati "tulikuwa tunaandikia maraisi emails" alafu huyo huyo kesho akiwaambia muandamane mnabeba na masufuria yenu kichwani mnaingia road. Fala wewe Watchman.
 
My message is home, that's the most important thing. At least umejua what you didn't know
 
Sasa unafikiri kabla UN Habitat hawajaweka ofisi yao Nairobi kulikuwa hamna agreements? GoK haina say kwenye hilo ndio maana top guys si Wakenya! The moment mna interfere watafunga ofisi!

Najua Raila kuangukia pua AU imekuumiza!
 
Naona (from renders) Jengo halitotafutiana na Tabora, Kigoma,Sumbawanga maana zote ni project zimekuwa signed pmaoja ,adavantages za kutua usiku (emergencies plus easier ku schedule ndege aircraft utilization kwa kampuni zenye ndege chache
Leta render!
 
3billion usd ya toursim ,au 3.. ya GOLD sio hela inayoingia serikalini mzee baba, hio ni hela inayoingia kwenye uchumi wa nchi
 
Naona (from renders) Jengo halitotafutiana na Tabora, Kigoma,Sumbawanga maana zote ni project zimekuwa signed pmaoja ,adavantages za kutua usiku (emergencies plus easier ku schedule ndege aircraft utilization kwa kampuni zenye ndege chache
Jengo la Sumbawanga ni zuri japo Sina hakika kama kweli ni sawa na Hilo au hapana.

View: https://youtu.be/Ab78pwDsUwg?feature=shared
 
Unajua nikiona hii naona tumelala kwenye 1. Fish and Fish products (Kilwa port na Bagamoyo Fishing port zitasaidia ) , bado 2. Manufacturing tunauwezo mkubwa hasa ukizingatia kiwanda cha Sino Tan park na viwanda vingine ongoing bado, kuna potential ya ku triple that 3. Iron na coal and related products hapa ni mchuchuma na liganga bado haijanza 4. LNG sijataka kugusia 5. Bado holticulutre inaweza fika 1bil usd kama nchi 6.

Nadhani wote tunaona umuhimu wa Transport sector inaweza funika hata tourism kama tutakuwa serious na SGR, TAZARA revival project na Mtwara to Nyasa SGR, hapa pia kuna Dar port kupata New container terminals walau Berth 3 za 350m @
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…