Good move,
As a daily user of this road, once the footbridges and other small road works are complete and speed bumps removed, It will be one of the best roads in Africa from Nairobi to IsioloHaving used this road many times , I can vouch that it will be the most rural interchange you can ever see…my parents ancestry is near here … you only see such Ushago projects in developed nations… kudos to Kenya.
Nyie nyang'au kweli mmeishiwa😁
nadhani juzi kuna mbunge alishauri hili ngoja tuone!Good move,
But itakuwa poa zaid wakifikiria yafwatayo
1. Air Ambulance walau 2 kusafirisha wagonjwa to specialized facilities ndege kama Cessna 2 au hata lear jet na helicopter hata2 zinatosha kuanza zitasaidia kusafirisha watu wenye uhitaji wa emergency , plus kuokoa watu kipindi cha majanga kupeleka kwenye zonal hospitals
2 . Fire fighting helicopter hata moja na ndege hata moja zile zinazoweza kubeba ma tank makubwa ya maji, na pia fire fighting drones
naona pori tu!Unajifanya Huoni hiyo skyline ya Mombasa that is giving Dar is slum sleepless nights?
I understand you don’t know what a skyline is.naona pori tu!
jipu kubwa sana hilo kaka 😂😂😂Aisee kama bei imeshuka mbona hata Tz mwezi huu bei imepanda?
mwanza passenger terminal building iliishia wapi naona tender alipewa rostam aziz 😂Nice terminal building for Tabora, najua, Sumbawanga, Kigoma nao watapata good terminals maana ni project za pamoja
Mbona structure ya kawaida sanaa?
Wewe huogopi hiyo skyline ya Mombasa? Mombasa ishaanza kuacha Dar pole pole kwa development especially on skyline.pole kwa kupost hii maiti 😂😂😂
View attachment 3230959
Wangeacha wainyakue tuone Ujamaica wake!
Hakafu mwanza kwa domestic flight iko juumwanza passenger terminal building iliishia wapi naona tender alipewa rostam aziz 😂
Arusha is far better.Wewe huogopi hiyo skyline ya Mombasa? Mombasa ishaanza kuacha Dar pole pole kwa development especially on skyline.
nadhani ipo U/C na hii trip naibu Waziri atapita huko! Ila kwa maoni yangu uwekaji wa taa runway Arusha ungefanywa hata kabla ya wa Iringa kwa vile tourism peak season uwanja wa Arusha unakuwa busy sana ila sina uhakika kama wa Iringa utakuwa busy hivyo! Natamani by summer kuwe na taa runway ya uwanja wa ndege wa Arusha kuruhusu night flights!mwanza passenger terminal building iliishia wapi naona tender alipewa rostam aziz 😂