Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

KAKA MKUBWA TANZANIA NDIYE ANAYEAMINIKA



Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi, na Rais wa Rwanda, Paul Kagame, wanatarajiwa kukutana Jumamosi, Februari 8, 2025, jijini Dar es Salaam kujadili mgogoro unaoendelea DRC.

Akitoa taarifa hiyo leo Jumatatu, Februari 3, 2025, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Rais wa Kenya, William Ruto, amesema mkutano huo utahusisha marais wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (Sadc) na EAC.

"Rais Samia Suluhu Hassan amekubali kwa ukarimu kuandaa mkutano huo kujadili hali ya Mashariki mwa DRC," amesema Rais Ruto.

Ruto ameongeza kuwa Rais Tshisekedi wa DRC na Rais Paul Kagame wa Rwanda ni miongoni mwa waliothibitisha kuhudhuria mkutano huo utakaotanguliwa na mkutano wa mawaziri Ijumaa, Februari 7, 2025.

Pia, amesema wengine waliothibitisha kushiriki ni pamoja na Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini, Rais Yoweri Museveni wa Uganda, na Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia.

Mkutano huo wa dharura unafanyika wakati DRC ikiishutumu Rwanda kuhusika na mgogoro unaoendelea.


View: https://www.instagram.com/p/DFnqwnUKVuR/
 
Cruise ship terminal mombasa ni ya kishamba mkuu.. Zanzibar is building the most modern one in the region. 👇🏾any time soon this year we are gonna have this terminal opened.

Unasema kwamba gdp per capita ya mombasa ni gani.? 😂😂😂 report shows Mombasa’s gdp is around $3 billion and the population of mombasa county is approximately 1.5 million people. Heb devide hapo hata upate per capita ya $4000 🤣🤣.

Suala la hospital na schools twende ground manzee

Halafu mombasa inapokea abiria wa ndege wangapi vile.? 🤣🤣 takwimu hizi 👇🏾Znzvs Mombasa 👇🏾…

Kuhusu dollar millionaire hakuna hata 100 huko mombasa, na kama unahisi wapo wataje na biashara zao uzitaje. 🤣🤣🤣
 
Dollar millionaire wafanye nn mombasa wanunue mashoga auuuu, jiji lina nyumba za udongo karibu 3/4 ya nyumba zote Mombasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
No need of my account boy, I believe at your age you should be having some tangible investments, what do you have ? a house , a farm, a business? Don't mentioned your low grade paying job. at that point we can do men's talk.
Show me your account idiot. No wonder you are marrying school dropout kids.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…