Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Rudisha mke shule amalize shule ya msingi, while doing so don’t forget about yourself.
Sasa kama mke wangu nilimpata High School means ana akili mingi kukuzidi,
Kumbuka Mimi nimesoma Fizikia na Kemia na Hesabu na Biology ,
Hivyo ni lazima in your reckonings you encompass my wife in a physics class in High School. Physics na hesabu kwako ni kama mama Mkwe.

Unadhani wewe na mke wangu nikiwatungia mtihani wa Simple Harmonic Motion au mtihani wa Projectile Motion nani atamshinda mwenzie ?
I bet utaaibika na kichwa chako kidoogo kama Cha nyoka 😃
 
Mke wako ulipachika mimba akiwa class 4 ikabidii aache shule. Najua unatamani kupata mke amefika anagalau high school lakini huna, itabidi uache huyo dwanzi utafute wa high school.
 
CC: Teargass
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…