Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa hayo matrillion za 50 waliyokopa wamepeleka wapi?
miaka mitatu pesa imekopwa kuliko marais wote waliotoka madarakani alaf bado unakutana na mabango nchi nzima na sifa kibao unashangaa machawa wamekua wengi kumbe kua chawa sasa hvi ni ajira πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
 
Hapana hao ni wamiliki wa ardhi ila uwanja wa wachina wewe hujiulizi hiyo budget ya wizara ya ulinzi kujenga uwanja wa dollar zaidi ya 300m imetoa wapi na kwanini iwe wizara ya ulinzi na sio michezo?
wizara ya ulinzi ni wasimamizi tu wa mradi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…