Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani kweli Kenya ni superpower east Africa, lawama zote tunazibeba Sisi baada ya Tanzakundu kushindwa kuulinda mji wa Goma ๐Ÿ‘‹๐Ÿ‘‹๐Ÿ˜€
Rwanda ndio anaebeba lawama kubwa acha kujitia umuhimu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ hujui hata chanza cha mgogoro. Haya jifunze hapa ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
View: https://youtu.be/nNG3wVwno8s?si=PWFWPrPFWLJ9XtbF. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ nyie ni vile vimalaya vidogo vidogo na ndio mana Congolese wanazo guts za kuchoma diplomatic offices zenyu na hamna kitu mtafanya, vilaza nyie. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Congolese rebels ndio wamechoma sio serikali. Kama SADC ingefanya kazi yake vizuri yasingetokea haya. Fanyeni bidii muondoe wanajeshi wenu manake wanalia Hali imekua ngumu bila KDF, vita sio rahisi tuliwakanya๐Ÿ˜€
 
Wanajeshi wenu wanaomba usaidizi, vita imewalemea๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡


View: https://x.com/AndrewMwenda/status/1884155436749971667
madereva wa malori wamekua wanajeshi yani nyinyi akili zenu bana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

tena wanasema kabisa sisi madereva wa malori na wapo kwenye go downs wakishusha mizigo


View: https://x.com/rahim_meghji/status/1884171577044132331?s=46

View: https://x.com/mwita14mwita/status/1884205312103919720?s=46
 
Yani kweli Kenya ni superpower east Africa, lawama zote tunazibeba Sisi baada ya Tanzakundu kushindwa kuulinda mji wa Goma ๐Ÿ‘‹๐Ÿ‘‹๐Ÿ˜€
Jeshi la Tanzania ni dhaifu sana, KDF within a week chased M23 away from Goma hadi leaders wa M23 wakakubali kuacha vita, one year later after Tanzanian army kuingia DRC and Goma has already fallen.

KDF is mighty.
 
So wewe ndio huko Goma? Tu ache kuamini wenye wako Goma tukuamini wewe mkimbizi wa Yemen?
mpumbavu kabisa ww dereva anasema kabiwa sisi madereva wa malori au kiswahili kigumu kwako ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ na malori unayaona hapo mbele yako
 
Nashuku hio embassy ya Kenya imechomwa na Tanzania ndio ili Kenya irudi Congo kuwasaidia
Hukuona Jeshi ya Tanzania Juzi walipewa vita wakainua bendera nyeupe to surrender, wengine walitoroka mbio and changed from military clothes to civilian clothes hili wasijulikane๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ