Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inakwenda wapi na kazi ni kukwamakwama, anyway hio ilikuwa ni comparison ya premium class sio speed… alafu ni wewe tu uliyepost huku 😂😂😂 sio mwingine..
kukwama lini ? ikitokea mara moja its normal technical faults kwasababu hii ni technology ngeni kwetu na hasa bara la africa, so kutokea kwa faults ni kawaida hata nyinyi mulipoanza mulikua na technical faults, yani hua nawashangaa sana nyinyi muko kama wendawazimu vile😂😂😂
 
hebu tizama alichopost na alichoongea na ww unachoongea ni vitu viwili tofaut mzee kabla huja comment kwanza angalia kilichondikwa, so tukiona jambo haliendi sawa tushangilie tu, dah aisee mbona tunauzalendo wa ajabu, au mwenzetu ulikunywa maji ya bendera?😂
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Benki ya Dunia Bw. Ajay Banga, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Januari, 2025.

Sisi tunaongelea mambo haya

Sasa issue za Lissu na propaganda zake has anything yo do with this battle?
Upo weak sana. Huwezi notice hata strategical propaganda. Na wewe unaingi kichwa kichwa tu kwenye cheap propaganda.

Open your mind kijana
 
sio kila atachoongea mpinzani ni propaganda bro hawa wapinzani wakat mwengine tunawahitaj sana kwa ajili ya kufichua madudu, siku zote kwenye maisha mpinzani ndio anakupa chachu ya kufanya makubwa zaidi kwasababu atatafuta madhaifu yako ambayo huenda ww ulikua huyajui vzr

hili la mabango its true, inatumika pesa nyingi sana kushawahishi watanzania kama kazi inafanyika na maendeleo watu wanaona mabango ya nn bro, kwann pesa inapotezwa kizembe and yet kazi inaonekana, kwann pesa itumike tena kuwaaminisha watu yet nchi inasonga mbele, tusiwe watu wakushangilia kila kitu na kubeza kila kitu

mm bro kwenye ukweli ntakwambia huu ni ukweli na kwenye uongo i will tell u the same, hua niko very straight.
 
Kwanza wanacompare one coach kwenye train moja na full trains yenye coaches zaidi ya 8...kwanza business class na inatumia umeme.
Na nina uhakika wameleta hilo behewa ili kuwapumbaza wakenya wasilalamike na treni lao waliloscamiwa.

Wakenya ni vichaa. Halafu unasikia we are far better. Tanzania is 30 year back. Kwanza why compare the two trains?
 
Mjadala wako has nothing to do with this battle unless unajambo lako binafsi. Sasa unataka sisi watu wazima tuanze kuongea mijadala ya kitoto hivyo ya mabango!!!
 
😂😂😂😂 wakenya hua wanajifanya wafia nchi, yani mkenya kufaa njaa asionekane maskini ni jambo la kawaida sana
 
Mjadala wako has nothing to do with this battle unless unajambo lako binafsi.
nop bro sina jambo binafsi angalia mara nyingi coments zangu kwenye kila zuri ntakwambua hili zuri na nitapost na kwenye jambo la ukakasi nitasema pia ndio nilivo hvo
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bi. Amina Mohamed Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Januari, 2025.

nop bro sina jambo binafsi angalia mara nyingi coments zangu kwenye kila zuri ntakwambua hili zuri na nitapost na kwenye jambo la ukakasi nitasema pia ndio nilivo hvo
SO achana na mambo ya Lissu kuyaleta hapa. Kwenye vita always hakuna zuri kutoka kwa mpinzani wako.

Hiyo ndiyo kanuni bora ya kupambana. Ukianza kumsifia kwa kitu chochote adui yako ujue umeanza kushindwa vita.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Taasisi ya Rockefeller Dkt. Rajiv Sha Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Januari, 2025.

SO achana na mambo ya Lissu kuyaleta hapa. Kwenye vita always hakuna zuri kutoka kwa mpinzani wako.

Hiyo ndiyo kanuni bora ya kupambana. Ukianza kumsifia kwa kitu chochote adui yako ujue umeanza kushindwa vita.
sio mm nimeyaleta bro mm nimecomment tu kile alichokiongea, hvi bro unajua target kubwa ya adui yako hua inaanza kwenye udhaifu wako?? 😂😂

anyway tuachane na hii mada huenda tunaeza kua tofaut kwenye misimamo
 
Do not compliment your enemy:​

It is generally considered unwise to compliment your enemy, as it can be seen as a sign of weakness, potentially emboldening them or giving them an advantage in a conflict; instead, focus on addressing the situation directly and strategically, without giving them unnecessary validation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…