Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Do you know the meaning of intended? Ama wewe unapiga ti screenshot bila kujua tye meaning of what is written there? Nenda google ukaangalie maana ya untended.
 
Hii kitu inaumiza ichoboy01 kweli kweli, wanataka tufanane nao lakini wapi. Makwapa walijengewa na !china wanataka na sisi pia tujengeweπŸ˜‚πŸ˜‚

 
kwani expressway aliandika yeye mmiliki?? na ni ppp kama stadium au akili yako inawaza jaba πŸ˜‚ yani ww sometimes ni kama mwehu
Kama kweli Talanta ni mali ya mchina, ebu tuambie mbona wanakuwa supervised na KDF?

 
Hiyo article yako hata hujaisomaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Hao wenyewe hawajui kama Talanta ni PPP ama sio PPP. Hata hawajui ni PPP between Kenya na Kampuni gani, endelea kuokota okota articles zenye hazijielewi wewe Myemen aliyepotea.

 
naona azam tv hapo chini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ»

View: https://x.com/footballke_90/status/1883171773426065864?s=46
Kunyaland haijawahi kuwaga na sane men in uniform hata siku 1 kwanza katika operations zao mwenyewe kwa wenyewe huwaga confused πŸ˜…πŸ˜… mara waanze kujifyatulia risasi, wajipige wenyewe Teargas kama hapo tena wanagombana wenyewe, sijawahi kuona nchi ina jeshi lenye hopeless officers kama Kunyaland wanapigwa mpaka na civilians publicly and it's very normal to them πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Expressway wote tunajua ni PPP lakini Talanta ni mali ya GOK, ama kati yako na mchina mwenye aliandika Talanta ni mali ya Kenya tuamini nani?

Najua unaumia lakini hatutachoka kukuonya hii

View attachment 3214129View attachment 3214130
ww na waziri nani anaejua zaidi ya waziri aliesaini mkataba anasema ni ppp ww mbuzi wa kibera unasema munajenga kwa pesa yenu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


View: https://x.com/nationafrica/status/1765302835229392935?s=46
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…