Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wajua mombasa n mara mbili ya mwanza interms of population.ata una aibu kusema msa n kadogo

Population haijalishi wakati wananchi wanaishi kwenye nyumba zilizochakaa kama magofu. Mombasa nusu ya nyumba ni zile za enzi za ukoloni.
 
bro now sina nafas ila kesho asbh nitaanza nawewe kwenye beach hotels nikuoneshe giant of beach hotels in east africa😀😀😀😀
pwahahahaha sawa bro mi nakukubali sana...hunaga hasira hasira za kipumbavu...kesho basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…