Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe unarudishwa utake usitake, jiandae kisaikolojia. Huipendi nchi yako and yet huko hapa kwenye hii battle, tukutane Mukuru kwa njenga soon next month 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Sasa unatuletea watu 10 tu. Je, akina Nicxie na wenzake wanafanya nini huko USA? 🀣 🀣 🀣 Lazima panga la kufukuzwa liwapitie they do not have any profession to make them stay in the US

Kenya is a failed Country​

 
Kijana umeangalia hata tarehe za hizo links?

Au ndio akili zako zimegotea hapo, sitashangaa mkileta maporomoko ya Hanang tena licha ya kuwekewa nyumba mpya walizojengewa maana mpo vizuri kuflash Ubongo imagine mna vidata uchwara toka uzi huu unaanza mnavirudia rudia kila kukicha.
 
Hii ni habari kubwa sana huko bongoslum. 🀣 🀣 🀣
Yes, ni kubwa na imewauma sn, mlitaka awe mkenya ili mtusumbue humu. Wakenya hamna akili 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Don't say we have been brainwashed, just challenge the authenticity of any statement.
I say so because you make unrealistic claims
Okay lest start with no 1.
When you say it initiated and championed against colonialism in Africa, how is it unique since nearly each country had a party that did the same?
2. The only political party that succeeded in winning the war against racial and ethnic discrimination, REALLY?
3 & 4 also don’t make sense πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa unatuletea watu 10 tu. Je, akina Nicxie na wenzake wanafanya nini huko USA? 🀣 🀣 🀣 Lazima panga la kufukuzwa liwapitie they do not have any profession to make them stay in the US

Kenya is a failed Country​

Nicxie hana uwezo wa kuishi hata mbagala kwa siku mbili, US afate nn 🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…