Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Iniume kwa nini, yet Ruto anakemewa kila siku while nyinyi munaendelea kulamba haga ya mama kila siku. You are also forgeting our GDP per Capita is double bongoslum's.
Mnamkemea kila siku lakini ameziba masikio hata hawasikii. 😂😂😂
Hiyo nguvu si muitumie kujenga uchumi!
Police brutality imepamba moto.
Abduction imepamba moto.
Corruption imapamba moto.
Migomo ya kudai mishahara imepamba moto.
Vijana wanauwawa na kutupwa kwenye viroba.
Cost of living imepamba moto.
Mambo ni mengi.
 
Huyu ana Kaupuuzi Kweli kweli Ametoka Kenya Na Uyanga wake
Na kulazimisha Kuingia Uwanjan Kwa Nguvu Kwakujiona sijui nani!?
Na Bahati nzuri Simba Wanamjua fika ila Alicho Kipata Atajifunza
Ndio maana huwa nadharau bootlickers. Yani wewe maisha yako yote ni kulambalamba watu na wale unaowalamba wanakuchukulia mpuzi.😂😂
 
Huyu ana Kaupuuzi Kweli kweli Ametoka Kenya Na Uyanga wake
Na kulazimisha Kuingia Uwanjan Kwa Nguvu Kwakujiona sijui nani!?
Na Bahati nzuri Simba Wanamjua fika ila Alicho Kipata Atajifunza
Hypocrites, si hua munamsifu hapa kila siku, leo munampiga vita kwanini. 🤣 🤣 🤣 Anyway muwache ushamba, mjifunze kuheshimu journalists. 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…