Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🀣 🀣 🀣 🀣 Unajipatia fantasy happiness
 
yaan kweli bado akili zenu ziko nyum kulingana na document uliyoileta hapa hizo data zote ni za mwaka 2017

and hiyo ilikuwa ni forecast what about the real poverty rate kwa kipindi hiki. ulicholeta ni forecast
 
Nmecheka sn, soko pekee ninayoijua huko kwenu ni Gikomba na inakaa hivi πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£View attachment 3202792
Sema umeshtuka sana. Wacha kujiliwaza. You talking as if umewahi toka nje ya Tandale kuja Nairobi.

This is Gikombaa Market bongolala
Six floors of retail!!
 
hivi inakuwaje badala ya umaskini kupungua unazidi kuongezeka

kwamba umaskini wakenya kwamba hata mkiaacha kununua vitu vingine vyote kama nguo na kadhalika bado hmtaweza kuhimili kununua chakula cha siku. kweli GDP kubwa haina maana
 
Wakumbushe kwamba pia hawaku qualify 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…