A dumb bongolala won't comprehend thisAnother N.G.O money grab scheme … can’t you see the source … Aliceforchildren …. Am sure they have a video too of little kids with flies on their face … that’s how you make westerners shed tears and open their check book so the Organization CEO can afford that long overdue vacation to Switzerland 🇨🇭…
PPP sio bure, si ukuje utumie expressway bure tuone. Makwapa ilijengwa bure, library pia ni ya msaada, na Tazara mukasamehewa deni ju mulishindwa kulipa. 🤣 🤣 🤣uhehehe uchumi wote umekufa sasa munategemea kila kitu kwa mchina yani mpaka stadium hanuwez jenga kwa pesa zenu mpaka mchina aje na ppp😂😂😂
Sasa wewe unataka kupost ghorofa gani Dar wakati Kila Kona ni uswazi? Sisi tunapost maghorofa coz tunazoKunyan uwa awapost miradi ya hivi,wao ni maghorofa tu
Weka ushahidi kwamba ni mkenya huyo niondoke jf 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ni aibu kuwa mkenya wakati hata Avatar yako umeweka picha ya mtu mwenye asili/damu ya kikenya! Sema moyo inatamani sana uwe mkenya ila mdomo inakataa
Hawa wakenya ni wababaishaji mnooo, hii michuano hawakuwa tayari kuandaa, sisi tulikuwa na lengo mda mrefu na tulishajiandaa, hawa wakenya wamekurupuka baada ya kuona tukiandaa sisi tutawacheka miaka yote, wakaenda kumshawishi Uganda ili waje watuombe Tanzania tuandae wote kumbe wao hawako tayari na hawatokuja kuwa tayari.yani mm nawashangaa sana viongozi wetu sijui wako vp yani wanajifanya kama hawawajui kua wakenya ni wabaya wetu miaka yote tunarudia makosa yale yale miaka yote na hatujifunzi
Article zilizopikwa hapa 👇I can give you hundreds of article from the internet mentioning slums in Dar bongolala. Umesikia?
I'm sure even you ukifa alafu upate nafasi ya kuchagua kati ya Tanzania au Kenya hutofanya kosa tena. My friend hakuna mtanzania anaye wish kuwa raia wa nchi yoyote hapa EA zaidi ya Tanzania, but waganda na wakenya mamia kwa maelfu wana wish siku moja kuwa watanzania, yn mm niiache passport ya Tanzania nichukue ya Kenya? Over my dead body 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hakuna mtu anatamani kuwa Mkenya ama Mmarekani kuliko Alaska 007 aka The Watchman…he’s so bitter to have been born in Tandale , he wishes it was Kitale…😄😄😄
Slums zenu kamwe aziwezi kuisha kwa kiingereza chenu cha ugoko buddyAnother N.G.O money grab scheme … can’t you see the source … Aliceforchildren …. Am sure they have a video too of little kids with flies on their face … that’s how you make westerners shed tears and open their check book so the Organization CEO can afford that long overdue vacation to Switzerland 🇨🇭…
Hahahahahaaa Kenya nayo ni nchi, yn mm na akili zangu niwaze kuwa raia wa nchi mavi kama Kenya? Njaa, slums, ukabila, fujo, lack of opportunities na bado nitamani kuwa mkenya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Apambane ba maisha ya Tandale polepole awache kutamani nchi za wengine
🤣🤣 Ati Somalis run everything where? Watu Kenya inalisha na Misaada. Zoomalis ni fukara za kutupwa kama tu Watanzania. Bila Kenya wangeisha woteThe same way Somalis and wazungu run everything in kunduland.
Companies owned by Kenyans. Watanzania, Zoomalis na hao Wazungu wenu wote wako chini ya hizi Kampuni. Hata hio Ligi yenu fukara sponsor mkubwa ni SportpesaThe same way Somalis and wazungu run everything in kunduland.
Sisi tunaweka articles na ushahidi wa picha za chini, mna zaidi ya slums 200 in Nairobi alone and moreover the biggest slum in the world iko Nairobi, which accommodates more than 2.5 m slum dwellers, wewe unasema kuna articles zinataja slums in Tanzania and yet tukikuomba picha unaleta za mawinguni. Yes, slums zipo hata ulaya na america, but hizo slums zikiletwa hapo Kenya ni decent houses kwa slum dwellers wa Nairobi, hivyo hivyo kwa Tanzania wanazoita slum huku kwetu zikiletwa kwenu ni decent houses.I can give you hundreds of article from the internet mentioning slums in Dar bongolala. Umesikia?
Unazijua brands za bongo we mbuzi.? 😂😂😂Companies owned by Kenyans. Watanzania, Zoomalis na hao Wazungu wenu wote wako chini ya hizi Kampuni. Hata hio Ligi yenu fukara sponsor mkubwa ni Sportpesa
View attachment 3202324
But we have food, you don't.A dumb bongolala won't comprehend this
Informal settlements na slums ni vitu viwili tofauti, ingawa nyang’au hawapendi kusikia hivyo.
Watchman did I say he's Kenyan? I said ako na damu ya kikenya. Is that a lie?Weka ushahidi kwamba ni mkenya huyo niondoke jf 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hizo ni informal houses ambapo zipo Africa nzima na sio slums, zoom in uone utofauti, usilete picha za mawinguni weka picha za chini tuone hizo slums 🤣🤣🤣🤣🤣