Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

And do you believe what you just said? “In 7 yrs tumejenga mji mpya na facilities zote za kisasa”? You are so convicted to a point you believe it!
Usiniulize suala la kuamini Acha ujinga. Hii ikulu tumezindua last year 👇🏾all our ministries are still under construction in Magufuli city 👇🏾
View: https://youtu.be/YEU_QbKu-L8?si=NQ8tOg_55MEQQfIT. Majengo ya Taasisi zote na mashirika ya kiserikali are under construction 👇🏾
View: https://youtu.be/Fs_neLXFd1w?si=eP1j_P-xiYmy3McK. Even Tz judiciary building is under construction 👇🏾
View: https://youtu.be/vIBDe0JKGlU?si=kQkzcrr7hD2V0Zc3. Makao makuu ya kesho la Tz bado inajengwa 👇🏾
View: https://youtu.be/zLGDG8y4x8E?si=zh9FbG3kJOjc3iof. . Hizi zote zimejengwa within those 7 years.

Sasa wewe unalazimisha vipi kwamba Dodoma ni makao makuu ya TZ since 1974 without having these important facilities for place to be called capital city.? Au unalazimisha agenda yako.? 😂😂😂
 
Naona hii imekuchoma, ha ha ha. Nenda kazibe JKIA kabla msimu wa mvua haujaanza😁😁
 
Unacompare Dar is a slum na New York, enyewe wewe ni wazimu, hio image ya NYC unaona kama ikona dim lights kama bongoslum, huko kuna streetlights kila mahali hata inaonekana, meanwhile bongoslum ni mishumaa za uswazi ndio mingi. Show me any city from space with dim lights kama za dar is slum.
 
Unatoka kwenye mada, umeshashindwa Kaa tulia. Ashindwae pia ni mume. Bye bye
 
Kwamba kujenga international airport sio achievement.? Lakini kujenga gorofa mbili tatu za makazi ni achievements.? Au me ndio sijakuelewa.?
Huyo anaesema hivyo airport yao inavuja kama muembe! Yaani ukiwasikiliza hawa jamaa halafu hujafika kwenye hio nchi yao unaweza kufikiri ni bonge la nchi kama South Korea hivi kumbe ushuzi wa dunia ya tatu kama ushuzi mwingine tu.
 
Shida ya hawa watu wanajiona wanaijua Tz kuliko waTz wenyewe kwa kusoma juu juu mitandaoni.
IamLee Dodoma kuwa capital city(gov) was Nyerere's dream lakini hata yeye hakuweza kutimiza hio ndoto. Akaja Mwinyi,Mkapa,K
JK none of them bothered. Then JPM came into power and decided to implement the idea. Na akatunga na sheria bungeni hamna kuhama au kusitisha kuhamia Dodoma ndio WAKAANZA kujenga GOVERNMENT CITY AKA MAGUFULI CITY huku serikali ikihamia taratibu. Sasa kama unaona Dodoma ni village tafuta youtube video ya Magufuli city uone halafu tuletee kitu kama hicho hapo Kenya.
 
Miradi kama hii watoto wa kasongo akina Reborn Ktb IamLee au nairobae ni ndoto tu😁😁

View: https://m.youtube.com/watch?v=LwZl2dEQsB4
Hii imeendelea kuwashock sana Wakenya, Metro ndo zinakuja Dodoma…Hapa bado kile kijiji cha michezo kikiwemo kile kiwanja kikubwa cha mpira wa miguu pia wasisahau Dodoma kuna mpango wa kutengeneza Artificial Lake, (Man Made), Winery….. kwa kifupi mambo ni 🔥🔥🔥, Nairobi will be shut down soon, hawakumwelewa tu vizuri President wao anawatayarisha kisaikolojia wasije wakafa kwa heart attack, na ameona Tanzania hawana mpango wa kurudi nyuma hata kdg.
 
Wacha wivu mtoto wa kiume unafikiri hiyo ni fake Kisumu airport!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…