Eti mavi ya nani? π€£ π€£ π€£ π€£Acha ujinga. Hakuna Barabara rasmi inayopita chini ya SGR Viaduct.
Kuhusu Barabara kutokuwa na lami kabisa. Nairobi zipo kibao kabisa tena CBD. Mfano hiz...
View attachment 3184665View attachment 3184666
Nimecheka Sana na hiyo kauli ya swimming pool πππPole sana bongolala
Dar is a slum kidimbwi live.
View: https://x.com/kalage_jr/status/1841834868046520822
πππππππππ
Kama render mwanangu π₯°π₯°π₯°π€£ π€£ π€£ Kama New York mwanangu.
Naikumbuka hii nilipiga mimi mwaka 2016π€£ π€£ π€£ Kama New York mwanangu.
Ukimskia instanbul akiongekea open sewages in Kilimani inakuwanga projection. π π
Hilo daraja ndio huwa tunaambiwa kuna vitu utavipata Dar ila hutovipata mahali pengine Isti Afirika.ππDar is a slum is 1500 km2 and other stories. π€£π€£π€£ kumbe 1000 km2 ni ushago.
View: https://x.com/kalage_jr/status/1871832062237593794
Hii sehemu wakitaka kuonesha vile Nairobi CBD ni ndogo wanasema hapa sio CBD, wakitaka kuonesha vile barabara za CBD ya Nairobi ni mbovu wanatafuta hiyo picha outdated ya hii sehemu.πππPole sana bongolala
Dar is a slum kidimbwi live.
View: https://x.com/kalage_jr/status/1841834868046520822
Piga ua, bado wanapumua. π€£ π€£ π€£Hilo daraja ndio huwa tunaambiwa kuna vitu utavipata Dar ila hutovipata mahali pengine Isti Afirika.ππ
I couldn't help but notice this comment on the post. Ndio maana huwa tunawaambia the biggest difference between us and you is that we talk.Fake Kundustan ππππ
View: https://www.instagram.com/p/DD_tUhqooY1/?igsh=MThiM3BmOXo0OXU5
Hii sehemu wakitaka kuonesha vile Nairobi CBD ni ndogo wanasema hapa sio CBD, wakitaka kuonesha vile barabara za CBD ya Nairobi ni mbovu wanatafuta hiyo picha outdated ya hii sehemu.πππ
Hio ni terminus ya wapi. ebu tuambie ju hata sisi hatuijui.View attachment 3184887
Hiv kwa nini wakenya hampendi bus terminals nzr? Mlikosana nini