Hiyo Julius Nyerere ishaanza kufanya kazi bongolala? Kama hiyo takwimu sio sahihi leta yako sahihi tuone. Usiwe mjingaIla wakunya buana, you are so funny ,
Yaani JUlias Nyerere Dam alone has capacity of 2100MW, ila bado unakuta mkunya anakuja na takwimu zake na amezikumbatia hayuko tayari kuziachia
So hilo eneo lina better horizontal infrastructure? Nyinyi ni vichaa tu.Use common sense, I didn't say it has the best horizontal infrastructure in East Africa, I said it has better horizontal infrastructure than any neighborhood in Dar es salaam.
Are you guys stupid or something wakati hitilafu ndogo ya umeme wetu mnakula blackout. Kuwa na adabu kabisa.Hata Julius Nyerere Airport has a capacity of 8M but only handles 1.5M. Don’t confuse capacity with reality.
Capacity Vs DemandAre you guys stupid or something wakati hitilafu ndogo ya umeme wetu mnakula blackout. Kuwa na adabu kabisa.
View attachment 3184075
Tunaishi kwenye uhalisi ukiona hadi Zambia wanasubiri kuuziwa.
Zambia to import electricity from Tanzania due to drought
Zambia's state-owned electricity utility Zesco said on Monday it is seeking to import power to avert an energy deficit that could affect output in Africa's second-largest copper producer.www.thecitizen.co.tz
Tanzania building grid interconnector with Zambia to help mitigate power crisis | CNBC Africa
SINGAPORE, Oct 21 (Reuters) – Tanzania is building a grid interconnector with Zambia to help assist in mitigating a drought-driven power crisis, Tanzania’s deputy prime minister said at the Singapore International Energy Week conference on Monday. “We have some interconnectors with our...www.cnbcafrica.com
View: https://youtu.be/yf2io4O9o2A?si=1V2jOPDEYNvCgAio
Endeleani kukumbatia vidata uchwara vilivyopitwa na wakati huku mnalipia bill ya umeme huo mnaoukataa haupo.
Hii place haifikii Kilimani hata 40%. Utashinda uklichaguachagua vibarabara alafu unachukua lanes za Kilimani ambazo zimebomolewa due to construction. Mitaa yenu hainanga barabara bro. Hata foreigners wanakuja kwenu wanasema hivo. Barabara huko ni main road pekee.So hilo eneo lina better horizontal infrastructure? Nyinyi ni vichaa tu.
Hebu Tazama roads za Makumbusho tu...just a normal Neighborhood.
View: https://youtu.be/_N9MHUJJTL4?si=o40MRN42-vYN8hj7
Vidata uchwara yet you still use the same data to pass across your point. Ama hizo data are only uchwara when they don’t favor you? Your installed capacity is still lower than Kenyan, take that to the bank.Are you guys stupid or something wakati hitilafu ndogo ya umeme wetu mnakula blackout. Kuwa na adabu kabisa.
View attachment 3184075
Tunaishi kwenye uhalisi ukiona hadi Zambia wanasubiri kuuziwa.
Zambia to import electricity from Tanzania due to drought
Zambia's state-owned electricity utility Zesco said on Monday it is seeking to import power to avert an energy deficit that could affect output in Africa's second-largest copper producer.www.thecitizen.co.tz
Tanzania building grid interconnector with Zambia to help mitigate power crisis | CNBC Africa
SINGAPORE, Oct 21 (Reuters) – Tanzania is building a grid interconnector with Zambia to help assist in mitigating a drought-driven power crisis, Tanzania’s deputy prime minister said at the Singapore International Energy Week conference on Monday. “We have some interconnectors with our...www.cnbcafrica.com
View: https://youtu.be/yf2io4O9o2A?si=1V2jOPDEYNvCgAio
Endeleani kukumbatia vidata uchwara vilivyopitwa na wakati huku mnalipia bill ya umeme huo mnaoukataa haupo.
Brainless girlHii place haifikii Kilimani hata 40%. Utashinda uklichaguachagua vibarabara alafu unachukua lanes za Kilimani ambazo zimebomolewa due to construction. Mitaa yenu hainanga barabara bro. Hata foreigners wanakuja kwenu wanasema hivo. Barabara huko ni main road pekee
Teargas bhana!! 😀 😀Vidata uchwara yet you still use the same data to pass across your point. Ama hizo data are only uchwara when they don’t favor you? Your installed capacity is still lower than Kenyan, take that to the bank.
Mkuu unatembeza vitasa hadi rahaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nimeishia Hapo uliposema Kilimani ina better horizontal infrastracture😂😂.
Ngoja nikwambie kitu. Wakati nakaa Nairobi niliishi kilimani....
Kilimani ya sasa inaelekea kufanana Roysambu au Pipeline huko.
The way you talk of Dar. Its a clear evidence kwamba hujawahi kanyaga Dar...kwa nini mnapenda kutell lies...yaan nyinyi from your president hadi kwa mama mboga ni lies lies...
Kwenye video yako ya YouTube kuhusu moshi ulionekana kabisa hukuwahi kanyaga Dar.
Halafu if you have been here for while...you may see me commenting on some bad side of Dar. Sijawahi sema hata siku moja kuwa Dar is very perfect...I know well my city...Nimeshauri kila mara hapa on how to improve Dar City Centre...from making it a Tourism hub hadi kuzuia kabisa Nduthi kuingia....
Lakini siwezi kuona ujinga nikakaa kimya...kama unaona hiyo barabara iko sawa then you still have a long way to go. Imagine wew ndo uwe mayor wa Nairobi city halafu upuuzie Barabara kama hiyo...ati iko sawa. Nairobi na GDP yenu ya $60 bigger than Uganda hamshindwi kutengeneza barabara mpya ziwe world class kwa hako kaCBD....
Back to kilimani...hii ndo kilimani sasa 2024
😂😂 Au hapa ni wap
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/19xoydwTzL/?mibextid=LVqgqoT8rQke8goU
LIST OF POWER STATIONS IN KENYAMitanganyika Kwa kujifariji hamjambo. Tafuteni rika zenu Burundi na Uganda muongee View attachment 3183957View attachment 3183959
| STATION | TYPE | Capacity (MW) | COMMISION YEAR | ||
1 | Gitaru Hydroelectric Power Station | Hydroelectric | 225 | 1999 | |
2 | Kiambere Power Station | Hydroelectric | 165 | 1988 | |
3 | Kindaruma Hydroelectric Power Station | Hydroelectric | 72 | 1968 | |
4 | Masinga Hydroelectric Power Station | Hydroelectric | 40 | 1981 | |
5 | Gogo Power Station | Hydroelectric | 2 | 1957 | |
6 | Kamburu Hydroelectric Power Station | Hydroelectric | 93 | 1974 | |
7 | Mesco Power Station | Hydroelectric | 0.4 | 1930 | |
8 | Ndula Hydroelectric Power Station | Hydroelectric | 2 | 1924 | |
9 | Sagana Power Station | Hydroelectric | 1.5 | 1956 | |
10 | Sang'oro Hydroelectric Power Station | Hydroelectric | 21.2 | 2013 | |
11 | Sondu Miriu Hydroelectric Power Station | Hydroelectric | 60 | 2007 | |
12 | Tana Hydroelectric Power Station | Hydroelectric | 20 | 2010 | |
13 | Turkwel Hydroelectric Power Station | Hydroelectric | 106 | 1991 | |
14 | Wanjii Hydroelectric Power Station | Hydroelectric | 7.4 | 1952 | |
15 | Sosiani Power Station | Hydroelectric | 0.4 | 1955 | |
16 | Olkaria I Geothermal Power Station | Geothermal | 268.3 | ||
17 | Olkaria II Geothermal Power Station | Geothermal | 105 | ||
18 | Olkaria III Geothermal Power Station | Geothermal | 139 | ||
19 | Olkaria IV Geothermal Power Station | Geothermal | 140 | ||
20 | Olkaria V Geothermal Power Station | Geothermal | 158 | ||
21 | Kipevu I Thermal Power Station | Heavy fuel oil | 63 | 1999 | |
22 | Tsavo Thermal Power Station | Heavy fuel oil | 75 | 2001 | |
23 | Nairobi South Thermal Power Station | Heavy fuel oil | 109 | 1997 | |
24 | Gulf Energy Thermal Power Station | Heavy fuel oil | 80 | 2014 | |
25 | Biojoule Thermal Power Station | Biogas | 2.6 | 2015 | |
26 | Baringo Thermal Power Station | Biogas | 10.8 | 2015 | |
27 | Thika Thermal Power Station | Heavy fuel oil | 87 | 2012 | |
28 | Rabai Thermal Power Station | Heavy fuel oil | 90 | 2009 | |
29 | Ngong Hills Wind Power Station | Wind | 25.5 | 1993 | |
30 | Lake Turkana Wind Power Station | Wind | 310 | 2018 | |
31 | Kipeto Wind Power Station | Wind | 100 | Jan-21 | |
| TOTAL | 2579.1 |
Taarifa za miaka ya zamani sana pole
You still haven’t addressed my enquiry … why do you use a female name if you are truly a man … my conclusion is either kizungu imekuchanganyikiwa or you are homosexual ( no pun)….😳Njaa imekufanya uwe stupid
A football nation.Congratulations Tanzania U-17 for qualifying for TotalEnergies U-17 Africa Cup of Nations.
View attachment 3183995
1. Senior Men team (Taifa Stars) -Qualified AFCON 2025
2. Senior Women NT (Twiga Stars) - Qualified WAFCON 2025
3. Tanzania U20 NT -Qualified AFCON 2025
4. Tanzania U17 NT- Qualified AFCON 2025
5. Tanzania U15 NT- Champions of African Schools Competition
6. Yanga & Simba are in group stage of CAF Champions League
Hamuandai Chan wala Afcon, mnajengewa tembo mweupe.
Msikieni kichaa huyu.Hiyo Julius Nyerere ishaanza kufanya kazi bongolala? Kama hiyo takwimu sio sahihi leta yako sahihi tuone. Usiwe mjinga
Keshaanza kuiogopa talanta 👆 😂😂😂Hamuandai Chan wala Afcon, mnajengewa tembo mweupe.
sisi tushawazoea kwa project zisizokamilikaKeshaanza kuiogopa talanta 👆 😂😂😂