Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wengine hao
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]



Back to ze swag

Poor matadol for all kenyan
 
wasanii wa kenya wanaamini ili ufanikiwe katika sanaa yako, sio lazima upendeze,bali ujue kuzungumza kingereza.[emoji23]

usafi sio issue kwao....wale jamaa ni wachafu bhana.[emoji23]
Niwapuuzi sana
 
Hart the band huvaa style ya 80's.
wewee ni mzee lakini hata huoni.
niliwahi kuwasikia wakisema kwa interview flani
 
Hart the band huvaa style ya 80's.
wewee ni mzee lakini hata huoni.
niliwahi kuwasikia wakisema kwa interview flani
Ha haa usinifurahishe....huu ni uchafu aisee wazee wa zamani walikuwa wanajipenda walikuwa smart
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]




TIZAMA SASA JINSI WAKONGWE WALICYOKUWA WANAPENDEZA SMART TOFAJTI KABISA NA HAO MACHOKORAA WENU
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Hart the band huvaa style ya 80's.
wewee ni mzee lakini hata huoni.
niliwahi kuwasikia wakisema kwa interview flani

usiwatetee msee,
hakuna cha style ya 80s pale...wale ni wachafu,period.

mimi ni wa 1950s but i look classy,fresh,clean and younger 100 times than many musicians of current generation in kenya.
 
mwanamziki pekee nchini kenya ambaye alikuwa anapendeza kimavazi na kujiweka msafi ni prezoo.

sema tu vile kimziki kashuka.
 
mwanamziki pekee nchini kenya ambaye alikuwa anapendeza kimavazi na kujiweka msafi ni prezoo.

sema tu vile kimziki kashuka.
Na amekuwa akipendeza sababu ya kumix wazazi mmoja mbongo mwingine mkenya....hvyo nahisi ile trip yakujahuku kuwasalimu ndugu wakwaupande wa maza wake moja kwa ikabidi aadupt baadhi ya vitu from bongo ikiwemo mitupio
Ila nawasiwasi laiti prezoo wazazi wake wote wangekuwa na asili ya kenya naye pia angekuwa mchafu tu..[emoji3] [emoji3]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
acha nilale...nikiamka,issue ya usafi wa kimavazi na muonekano mzuri wa kisanaa miongoni mwa wanamuziki wa kenya na tanzania ndio itakuwa topic yangu ya siku nzima.

nimeshandaa nondo za kutosha,so wakenya wajipange.sitohitaji porojo ila facts na attachment (images).[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…