Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

These words you wrote prove that you are a first class poor
 
NairobiWalker mwaiofhawaii wanatamani wao wawe sisi na sisi tuwe wao; lakini haiwezekeni. Wao wameandikiwa fungu la kukosa*

A Must-Visit Spot! Crystal Waters and Rare Species: Why Lake Tanganyika is a Diver’s Dream​




 
I will surely visit Madam Venus, I can afford it.
 
Hata kama watandaa itakuwa chini ya kiwango
Hawatoandaa Chan wala afcon mark my words, wababaishaji sanaa hawa washamba, just imagine finishing ya huo uwanja wanavyofanya ndiyo itakupa picha ni kiasi gani walivyo hovyo.
 
Kwa hivo gorofa sii mradi?
Kkoo tu peke yake kuna zaidi ya 100 yapo under constr,atuyapost coz kwetu si priority yetu,tunapost miradi itakayomgusa kila mtanzania,kwa deni mnalodaiwa then hamna miradi kama wa brt phase 2,3 na 4 kwa wakati mmoja,nyerere dam,sgr n.k,mngekua watu wenye elimu nzuri mngeona aibu kupost maghorofa
 
Hii Kariakoo moja ama kuna nyingine? Do you even have an idea what 100 storied buildings are? πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…