Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwambie alete picha za chooni!
 
You’re right, not in Nairobi County but within Nairobi Metro. When you say largest military airport, what exactly do you mean? Largest by what? List the metrics used to rank it “the largest “
Kiambu county is NOT Nairobi county!

Here is ur airfield with aibu!
 
So in Short hujui kama electric buses are in Kenya? Kweli uko nyuma kama matako.
We nawe nini? Kwa hiyo umekweps bridge unataka kuleta ka bus, umeelewa why nimeitaja? Unadhani me naflash ubongo kama nyie?

Nimeshangaa electric bus ndio unajidai seriously? Tena za kuvizia.

Now tuoneshe cable stayed bridge uliyosema mnayo.
 
Acha kubadili mada..
.topic toka mwanzo nimeongelea mabegi kupokelewa kwa mikokoteni....ww unaongelea online data za abiria..
Hiyo ni topic ya siku nyingine

Kwa nini mnapokelea mabegi kwenye mikokoteni wakati nyinyi mnajisifia mna best infrastracture in East Africa....and thats is among the main Airports in kenya?
 
Diamond (TZ)-tanasha (kunyaland),nani alimkojolea mwenzie hapa?
Alivyofala anashangilia wao kushika namba moja kutazama nyimbo za watanzania hajui kama tumewageuza soko, ni kama mziki wa Congo enzi zile hapa bongo, tulikuwa tunaufuatilia kuliko wacongo wenyewe, kibao kimegeukia kwa wakunya vs bongofleva.
 
Kenyans are the backbone of Tanzanian artists, that’s why tunawakojolea na wamenyamaza. There is nothing they can do without Kenyans.

View attachment 3179948
Ni ushamba au ni nini mko nao? Sasa kama mna nguvu si msupport wakenya wenzenu wafike mbali...au nyingi mna roho mbaya kwa wakenya wenzenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…