Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahio Ke supermarkets kumejaa local products tu? Buashara huria hizo products za Ke ulizoona pia zipo za Tz na other countries. Mfano hizo juice Azam,MO,Sayona to name a few local. Pia kuna Ceres,Del Monte,Tropicana pesa yako tu.
Ulikua wapi wenzako wakituambia hapa hakuna products za Kenya kwa duka za bongo. 🤣 🤣 🤣 Nakumbuka wakisema hakuna hata maziwa ya brookside bongoslum.
 
Milk products zenu huku?

Ipo supermarket gani? Sababu kuna ASAS, DAR FRESH.
 
Ulikua wapi wenzako wakituambia hapa hakuna products za Kenya kwa duka za bongo. 🤣 🤣 🤣 Nakumbuka wakisema hakuna hata maziwa ya brookside bongoslum.
Labda hawajawahi kuziona. Hio brookside hata mimi sijawahi kuiona. Supermarkets zipo nyingi zinauza products tofauti. Labda Ke ndio supermarkets zina local products only.
 
Imagine DMDP mradi ume stall. WB wako tayari kutoa hela ya ujenzi. Mradi umekwama tangu mwezi wa nne.
 
Ha ha ha katumia supermarket moja ku judge nchi nzima.
Wajinga hao. Nimeanza kumfuatilia tangu anaingia nchini kutoka Uganda. 🤣 🤣 🤣 🤣 Jamaa kainigia juzi tu hapa nchini na anaanza kutoa analysis kuhusu Dar.

Ndio maana hana views nyingi kwenye youtube channel yake kwakuwa hana contents za maana. Watu wamempuuza.
 
Wewe Mpumbavu kweli, angalia hii video, products za Tanzania zimetakeover


View: https://youtu.be/mjvOrot5Ux0?si=lXEhf3OzbBxlCTC0
 
Alas!… Kwani kuna ukabila TZ ?…please I wanna hear more..let me grab my popcorn… this might get interesting…..Wasukuma ni akina nani ?
Unaelewa hata maana ya tribalism,
Imagine DMDP mradi ume stall. WB wako tayari kutoa hela ya ujenzi. Mradi umekwama tangu mwezi wa nne.
Ndio haya mambo tunayaleta kwenye mwanga uzembe mwingi plus ukiongeza siasa na viongozi wanajua kusifia ndio kunalipa siku hizi.

Tofauti na kipindi cha mzee uchapakazi ndio ulikua dili now tuna UCHAWA usio na faida zaidi ya kulea ujinga.
 
Hawa watu hawana ustaarabu kabisa.
Wananikeraga sana, no wonder wakienda World Cup hawana msaada juzi tu Morroco ndio kaibuka, sababu wana soka la figisu na kujiliza liza wakienda ambapo hakuna figisu wanapoa kabisa.

Mijitu inajiangusha angusha kupoteza muda refa anaufidia muda kwenye nyongeza inajifanya eti sio fair.

I think walipie gharama za viti walivyong'oa.
 
Ha ha ha katumia supermarket moja ku judge nchi nzima.

Jamaa kiazi sana huyo.

Bidhaa zao ni za kumulika kweli kweli kwa sasa. Kuna viwanda vingi sana vya bidhaa hizo za FMGs hapa Bongo.
Mimi bidhaa pekee ya kunyaland nayo tumia ni sabuni ya kuoga... Na ndio naipiga chini maana copy zimezidi. Imebakiza kale ka logo kasikoisha ila harufu yake imepotea completely.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…