Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We all know Geography Subject inawasumbua wakenya. Siyo tatizo lako, tunamlaumu Mama Ngina
When did a meteorite start being categorized as a Geography topic my friend. It falls into the scientific field of Astronomy and geology which I am well versed in btw.
 
Hueleweki. Nenda kasome kwanza kiswahili ndio uje kujadiliana na wasomi wa JF.
Kama unajiita msomi ukiwa una -categorize meteorites kama a β€œsubject ya Geography”then sijui wale ambao hawajasoma. Ole wako..
 
Ndio mnavyojifariji baada ya vipigo eeh?

Mulianzishe nyie alafu mkipewa majibu mnaanza kujiuma uma?

Acha ujinga tulia Dawa ipenye 20m Gone. Na hamna show.
Mzee wewe ni jinsia gani manake sio kwa huo muandiko
 
Kama unajiita msomi ukiwa una -categorize meteorites kama a β€œsubject ya Geography”then sijui wale ambao hawajasoma. Ole wako..
Tatizo unafikiria Geograph ni kusoma ramani ya dunia tu 🀣 🀣 🀣 Kwenye Geography kunatopic inaitwa geology
Nenda tena kaiuliza Chatgpt vizuri 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…