Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Achen kujifanya mnaplay guilt hapa mlilianzisha limezeni sasa
 
Maneno yapi tena? Ukabila unahusiana aje na mjadala tuliokuwa tunaiongelea? Mbona watapatapa kila pahali, mara unaongea kuhusu kiingereza kuwa lugha ya walevi. Mie mbona sikuelewi? Una shida kisa ninavyoandika kwa kiingereza? 😂
Hata hivyo, mie pia ninajivunia ligha ya kiswahili, ninaandika kwa kimombo tu kwa sababu ni rahisi kwangu kufikiria na kujibu kwa kiingereza, kama unavyojua lugha ya kiswahili kimebuniwa pwani wa afrika mashariki sanasana pwani wa Kenya
 
😂😂😂 ukiachana na hii JF ni social media gani nyingine unafatilia we punguani kablasijakuletea proofs. Wakenya hii Ndio mada yenu ya nchi nzima kwasasa hadi viongozi wenu. Pumbavu. Pitia hizi 👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DDZEIk9CJq0/?igsh=MWVlZXozMGE5b3JvMQ==.
View: https://www.instagram.com/reel/DDU-QRWtgko/?igsh=MTY4cWg1eml6anpuMQ==
 
I really don’t give a rat’s a$$ about no Diamond platypus or Willy Paul. I don’t even know both of their songs man 😂
I have my own taste of music and even so, I don’t follow their social or personal lifestyles
 
Halafu Erick anapoelekea ni kubaya anakuwa nuisance juzi na Gen Z saahii na event organizers! Ana instigate protests!
 
I really don’t give a rat’s a$$ about no Diamond platypus or Willy Paul. I don’t even know both of their songs man 😂
I have my own taste of music and even so, I don’t follow their social or personal lifestyles
Ni wewe sasa, ila wakenya wenzako wote Ndio mjadala wenu wa taifa kwasasa. 😂😂😂 sahii watu wanasubiri official statement kutoka ikulu kwa Ruto.
 
Ni wewe sasa, ila wakenya wenzako wote Ndio mjadala wenu wa taifa kwasasa. 😂😂😂 sahii watu wanasubiri official statement kutoka ikulu kwa Ruto.
Eti wanataka walipwe pesa nyingi pasipokuwa na dhamani, hivi huwa wanajiuliza kwani kwenye club moja letsay man united wachezaji wanatofautiana vipato hata kama wanacheza mechi moja
 
Halafu Erick anapoelekea ni kubaya anakuwa nuisance juzi na Gen Z saahii na event organizere! Ana instigate protests!
Huyo Erick anakaa mpumbavu sana most of the time, ananikumbusha story za Luddism workers movement during Europe Industrial Revolution, he doesn’t know who is their real enemy, so he chooses to fight anyone, badala ya kuhamasisha hard working, utenzi mzuri na melodies sweet kwa wasanii wao, yeye anahamasisha play 75% kenyan music. Sasa utampangia shabiki ni kipi cha kuskiliza.? Asikilize tu kukuru kakara za hao walevi wa kikenya.? 😂😂😂

Wasipobadili mitazamo Yao, na kuona ni kwanamna gani wanaweza kutoa domination ya Bongo flavor huko kwao, we gon lead the forever as far as entertainment is concerned.
 
Halafu nimegundua hata ruto Hana shida, Bali wenyewe , inavyoonekana wengi hawataki zile kazi za kutoa Jason, wanategemea sana kazi za mishahara, Kuna interview moja nilikuwa naisikiliza leo eti Kuna mburura inaropoka eti wizard ya michezo tanzania inawasaidia wasanii hivyo wanashindwa compete mara wakija wanatozwa usd 100 kwa show, wanasahau kuwa diamond pamoja na kuwa kalipwe kenya used 150,000 anatakiwa alipwe 30% ya faida yake na ni lazima favour gani tunapata badala ya hardworking.
Kuna wengine wanalalamika eti vitunguu vya tanzania ni cheap sana vinawafanya wakulima wao wasiwe competitive sababu Kuna subsidy, wasichojua gharama ya mfuko mbolea na mbegu ni almost the same kwao na kwetu.
 
Hivi ni lini tanzania ishawahi kuwa na ugomvi na Rwanda, Uganda au nchi yoyote zaidi ya kenya ila wao Sasa ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…