Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa huyo willy Paulo mwenyewe amekiri kwamba Dmond ni msanii mkubwa duniani na ndiyo anajifunza kupitia yeye.
 
Unaishi kwenye Utopia or something nyie jamaa mna KENYA yenu maalumu ambayo hatuji ilipo.

You are too poor mpaka mnakimbia na ugali in time of distress, you are too poor mpaka mnawekewa ruzuku ya unga wa ugali ambao ni bob kadhaa.

You are too poor kiasi kwamba roli hata ya soda za jero bongo ikianguka mnafakamia.

You are too poor kutumia Chai Maharage karne ya 2024 CBD.

GDP ya nyoko 80% ni madeni kinachobaki hata sisi tukilipa madeni surplus ipo juu same na Per Capita yenu, 80% ya Per Capita ni deni mnabaki na bob kadhaa.

Middle class ya kusubiri affordable housing ndio middle class gani au middle finger?

20 FLOOR ndio utajiri? Ukichaa huu.

Tukichukua pesa ya mradi mmoja bongo tunaweza watengenezea city mpya huko Ukunyani.
 

Aloo Kenya ni mavi, angalia hizo barabara za walalahoi hapo chini yn ni za walalahoi kweli kweli, no road markings, potholes kama ile ya kuchomea vitumbua, mavumbi plus dongo jekundu. Yani mwaka wa ngapi huu tangu mchina awajengee kabarabara kajuu lkn wao wameshindwa kujenga za chini duuhh 🚮🚮🚮🚮
 
Msikize Etana alivyoongea. Etana sii Mkenya ni Mjamaica. Wasanii wenu Wana dharau na soon watakiona. Mchezo ushaanza.


View: https://youtu.be/jdAUfzQvfaU?si=7GeBumZIdvAKxCgw
Huyo Etana anamjua nani, kwanza sio lazima kuwaita wasanii wa bongo waje kwenu ni shobo zenu na nikuambie tu hamtoweza kuacha kuwaomba wanamuziki wetu waje huko cz wakenya wanapenda mziki wa Tanzania kuliko mziki wowote, chuki yako haitosaidia kitu, kuhusu dharau ni kawaida kwa wanamuziki wakubwa ukiwaletea upuuzi wa kuvunja makubaliano hafanyi show.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…