The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,970
Pole ,hii ni render ? 👇👇Sasa mbona unanionesha render kijana wa Tandale wakati mimi nimeweka real picture. Umekosa kitu Cha kupost nikutumie za Chang'ombe.
Mbona wanapaka paka rangi, kuuziana umeme kivipi? Kenya wana umeme wa kuiuzia Tanzania? Waseme Tanzania kuiuzia umeme Kenya, na hii tulisema sana kipindi kile tumeanza kujenga jnhpp na wakenya wengi wa humu akiwemo Tony254 wakabisha, leo naona wanatii.
Basi kwenu hakuna fiscal disciplineKwani lazima tutengee? Ebu tuonyeshe penye tulitenga pesa za affordable housing, tuonyeshe penye tulitenga pesa za kukata ati Kasarani Stdium, tuonyeshe penye tulitenga pesa za kutengeneza all the ongoing roads projects in Kenya. Tuonyeshe penye tulitenga pesa za kujenga all the small stadiums tunajenga all over Kenya.
Nioneshe highrise building hapo.Unasema hamuwezi jenga magorofa halafu chini ni tope eeh? 😂 😂 😂
Matako ya kima. Post yako ya awali uliyoniquote ilikuwa na hizi picha zote umeweka hapa? Bongola, post yako ilikuwa na render tuPole ,hii ni render ? 👇👇View attachment 3171571View attachment 3171572View attachment 3171573
Render ni hizi hapa 👇👇View attachment 3171574View attachment 3171575
Tuoneshe barabara ya lami hapo. Alafu eti ni Moja ya mitaa ya kifahari hapo glorified fishing village 🤣🤣🤣Nioneshe highrise building hapo.
Kwa hivo nyumba zisizo highrise haziitaji lami ama unamaanishaje?🤣🤣Nioneshe highrise building hapo.
Sasa kuwa na reli ya umeme inamaanisha Tanzania imeendelea kuliko hizo nchi za ulaya ambazo hazina reli za umeme? Mtanganyika ni mtanganyika tuIla sio nyie, hizo ni za ulaya na wanatamani kuwa na kama yetu, hakuna nchi duniani isiyotamani kuwa na reli kama yetu, hata ukilia huo ndiyo ukweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huenda hatuna chakula ndio lakini hatuongozi kwa umasikini ukanda huuNchi nyingi ulaya blah blah blah!
Hata chakula hamna.
Umesahau hilo ni gazeti lao?Mbona wanapaka paka rangi, kuuziana umeme kivipi? Kenya wana umeme wa kuiuzia Tanzania? Waseme Tanzania kuiuzia umeme Kenya, na hii tulisema sana kipindi kile tumeanza kujenga jnhpp na wakenya wengi wa humu akiwemo Tony254 wakabisha, leo naona wanatii.
Vilaza wawili wakifarijiana. Bongolalas have you ever seen an indoor arena? Have you ever used or even seen a floating bridge? Do you know what an expressway is? Have you ever seen a geothermal power plant?Hapo unamuudhi nyang’au Nicxie kweli kweli😎
Slums left right and center? You mean these ones?Kipi ambacho hujaelewa, au wivu tu unakusumbua baada ya kuona tunaijenga upya Dom alafu nyie mmebaki na Nairobi iliyojaa ma slums left right and center 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
You can't even do a simple Google search! Kojoa ulaleNchi gani ya ulaya haina treni ya umeme?
Upuuzi mtupu😂Vilaza wawili wakifarijiana. Bongolalas have you ever seen an indoor arena? Have you ever used or even seen a floating bridge? Do you know what an expressway is? Have you ever seen a geothermal power plant?
Vilaza katika ubora wao
Fiscal discipline ndio hiyo imekwama kwenye Kundu la LDC.Basi kwenu hakuna fiscal discipline
Wacha personal attack watchman.Wewe libaba lizee sasa ni muda wa kuhadithia wajukuu
Sasa si useme ni nchi gani hiyo?Wacha hata ya umeme. Kuna nchi za ulaya hazina hata kilometer Moja ya reli