View: https://x.com/nchapietv/status/1864390523122835617
View: https://x.com/citizentvkenya/status/1864382524631187797
MY TAKE
Kundurenda Teargas, NairobiWalker n mwathadan mko wapi? Kama Savannah group wana muscles za ku-compete waje wafungue cement plant Tanzania! Na si protectionism moves za kipumbavu na hawana fedha! Hawa Savannah group ni utapeli tu hamna chochote!
View: https://x.com/lawrencekitema/status/1862161684317471061
Itβs time now Bakhresa Group iende kufungua milling plant yake Mombasa baada ya frustration za kipuuzi za utawala wa Kenyatta!
sasa hvi mrusi kawa mzuri hamutaki tena ubeberu ππππππ
anavuta keki upande wake kisa ana kampuni za ujezi wa barabara πππ
mwanza ilikua miez 6 kapewa ila kwasababu hakuna uwajibikaji wala wakuwajibisha itachukua 2 good yrs ππNi kweli ila mbona hajaongea hivi kabla? Au baada ya kuanzisha kampuni ya ujenzi ya Taifa? Na jengo la Abiria la Uwanja wa ndege Mwanza anamaliza lini?
πππππππππKuna uhuni Mkubwa unaendelea pale...ni suala la muda mambo yatakuwa wazi tu.
Magufuli alikuwa sahihi sana na wala hakuwa mjinga kila baada ya miezi miwili yuko pale bandarini tena anaenda kimya kimya bila taarifa.
Tungebaki na plan zetu tukiiboresha mdogo mdogo....
Tukiendelea hiv itafika 2050 bado tuko hapahapa na kaGDP ketu... bila kuwa na watu serious kufuatilia huu uhuni unaoendelea pale.
beberu anaangalia namna ya kupeleka vita uganda sasa πππππ
sidhani kama atanunua tena bamburi coz tayar alibadilisha maamuzi ya kujenga kiwanda cha cement tanga na kuongeza upanuzu wa mbeya cement
View: https://x.com/nchapietv/status/1864390523122835617
View: https://x.com/citizentvkenya/status/1864382524631187797
MY TAKE
Kundurenda Teargas, NairobiWalker n mwathadan mko wapi? Kama Savannah group wana muscles za ku-compete waje wafungue cement plant Tanzania! Na si protectionism moves za kipumbavu na hawana fedha! Hawa Savannah group ni utapeli tu hamna chochote!
View: https://x.com/lawrencekitema/status/1862161684317471061
Itβs time now Bakhresa Group iende kufungua milling plant yake Mombasa baada ya frustration za kipuuzi za utawala wa Kenyatta!
I think you missed the point I was makingβ¦.. someone on ur side came after me about my comprehension of the English language like itβs something weird about it and my response was in perspective to his knowledge of Swahili which as I put it has foreign influences tooβ¦ but most of you Tanzanians act like Swahili originated from you wholly and we have no say in it β¦. At least I can attest that you have the grasp of history β¦
Kwani unadhani wanatangaza bila kuwasiliana nao?sidhani kama atanunua tena bamburi coz tayar alibadilisha maamuzi ya kujenga kiwanda cha cement tanga na kuongeza upanuzu wa mbeya cement
Tunakwenda step by step on each and every aspect.
Lakini ni sawa tu kama anaweza Kwa gharama nafuu kidogo na akajiri wazawa na kuwajengea uwezoanavuta keki upande wake kisa ana kampuni za ujezi wa barabara πππ
Upuuzi wa kipumbavu wa underhand tactics! Mbona asiingie market ya Amsons ya Tanzania na kushindana kama ameingiliwa background yake?