Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna uhuni Mkubwa unaendelea pale...ni suala la muda mambo yatakuwa wazi tu.
Magufuli alikuwa sahihi sana na wala hakuwa mjinga kila baada ya miezi miwili yuko pale bandarini tena anaenda kimya kimya bila taarifa.
Tungebaki na plan zetu tukiiboresha mdogo mdogo....

Tukiendelea hiv itafika 2050 bado tuko hapahapa na kaGDP ketu... bila kuwa na watu serious kufuatilia huu uhuni unaoendelea pale.
 
Umewahi sikia hela imepunguza huko TRA au TPA?

Dua la kuku kumpigania marehemu 😂😂😂😂
 

View: https://x.com/nchapietv/status/1864390523122835617

View: https://x.com/citizentvkenya/status/1864382524631187797
MY TAKE
Kundurenda Teargas, NairobiWalker n mwathadan mko wapi? Kama Savannah group wana muscles za ku-compete waje wafungue cement plant Tanzania! Na si protectionism moves za kipumbavu na hawana fedha! Hawa Savannah group ni utapeli tu hamna chochote!


View: https://x.com/lawrencekitema/status/1862161684317471061


It’s time now Bakhresa Group iende kufungua milling plant yake Mombasa baada ya frustration za kipuuzi za utawala wa Kenyatta!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…