Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu mbwa wapo sorting, sio at the check in counter, yn abiria huwezi kuwaona au kukutana na mbwa, wapo nyuma ya jengo. Kwenye zile scanner kuna watu na huwa mara nyingi tu wanapitisha mizigo haramu kwa kupewa rushwa, sasa wale mbwa kule nyuma wanatumika kuhakikisha mizigo imebeba vitu salama, ni kama unavyoona panya wanaotumika kutegua mabomu na ndivyo mbwa hivyo hivyo. Wanyama wana uwezo mkubwa sana wa kujua vitu haramu kuliko binadamu mkuu.
 
Sawa ila idadi ya wateja na gharama za mradi zitaendana zitaendana?
 
Bro. Majority of the Bajuni people live in Kenya, while a minority live in Somalia. You're contradicting yourself.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…