Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

First of all, Shungwaya was in Kenya and extended to Somalia a bit not the other way round. No wonder the descendants of Wangozi are Kenyan.

Secondly, you missed the point. Mwaiofhawaii might not have gotten everything 100% right, but it's hypocritical for you to come gun blazing at Mwai when he's 80% correct yet you're okay with your fellow Bongolalas who are 100% wrong. Why not spend sometime educating them on the true origin of the Swahili language? Yani wewe Mwalimu utandike mwanafunzi aliyepata 80% viboko kisa hajafikisha 100% wakati wengine walio na 0% unawaacha?
 
Hujanielewa mkuu.
Saudi Arabia mbwa wapo ila sio katika sehemu za huduma za kijamii.
Je unaweza kunitajia stesheni ipi ya reli au sehemu ipi ya huduma ya kijamii ambayo wanatumia mbwa kukagua watu huko Saudi Arabia!??
Sio kukagua watu, wanakagua mabegi, na wanakagua kule sorting wala sio pale unapo check in.
 
Kwa mujibu wa historia ya lugha, kiswahili si lugha ilikuepo hapo kwenye historia mnabishana nazo, wewe na huyo you all wrong, tulivyokuanavyo hapo zamani ni pijini zenye misamiati michache inayofanana na kiswahili, kwa mujibu wa wana sayansi wa lugha, Tafiti zimewekwa kisomi na wameeleza wazi contribution ya kila kabila katika kujenga kiswahili tulichonacho leo, ambapo taifiti zilizofanywa na wasomi wa lugha zinaelez kwamba wakati wa kusanifu kiswahili 60% of todays swahili (language of standardization) is kiunguja dialects. 30% kiarabu, 10% ndio contribution za makabila mingine kati ya hizo lahaja kuu za msingi 15. Haya maelezo yapo kwenye vitabu vya kiswahili Historia ya Lugha (topic ya kwanza Form five nilisoma). Katafute hizo vitabu jielemishe then njoo tujadili.
 
Hivi ninyi mtamdanganya nani !?
Hivi mnatuchukulia sisi hatuna akili au hatujielewi!?
Kuna barua na karatasi zilizoandikwa kiswahili Karne za nyuma kabla hata ya hao uliowataja kujulikana ni kina nani.
Kiswahili chimbuko lake ni pwani ya Afrika mashariki kuanzia miji ya pwani ya Tanganyika hususan Kilwa.
Wewe endelea kulisha watu matango pori.
 
Achana naye huyo embu hii mada mkuu ife watawaumiza kichwa tu hao.
 
Here's the thing, the dialect of Swahili in official use in both Kenya and Tanzania has a Tanzanian origin. Also, Kilwa was the first dominant Swahili city state in the Swahili Era. So Tanzanians are actually 80% right. But to call Swahili a foreign non-African language is so pathetically and embarrassingly wrong especially since the linguistic roots of Swahili can be traced to your own Kenya. Any exposed language takes loanwords from foreign languages. This doesn't make it automatically a foreign language. mwaiofhawaii That is such an embarrassingly ingnorant statement.
 
Sasa mkuu si kuna scanner!?
Kwani scanner hazitoshi kukagua mabegi!?
Bro tech yote hii ukague mabegi kwa mbwa!?
Kuna vitu scanner haiwezi kukagua, kumbuka pale kwenye scanner kuna watu wanaangalia na wanaweza kupitisha pasipo kujua au kwa kujua pia, so mbwa hapewi rushwa akipita ananusa mabegi yote, wale wamefundishwa, kukiwa na sintofahamu yoyote anatoa ishara.
 
Mmmh sijui kwa utaratibu upi ila kama ni vitu hatarishi hakuna kitu scanner kitaacha kuona.
Nadhani ni namna ya utendaji tu ndio inakwamisha.
But sijaona ulazima wa mbwa kunusa begi.
Na hiyo sehemu mie nikifika Haki ya Mungu sipati huduma nageuza chap.
 
Shungwaya's capital city was in Somalia opposite of the Bajuni islands. The Bajuni people are also known as Watikuu, ie., Wa-inchi-kuu, ie. those from the capital city. That name is evidence that the area where the Bajuini come from was considered the seat of power of ancient Shungwaya.
 
Lakini hii project naona Haina maana ni upotevu wa pesa
Watu ni wajuaji humu ndani! Mnafikiri SGR ni safari za mikoani tu! MTU wa Moro atapewa urahisi ku-connect flight kutokea Pugu station wakati plans za kujenga light raiway zikichelewa! Na hii SGR inapaswa kuunganishwa na Magufuli bus Terminal kama vile BRT inapaswa kwenda mpaka Pugu! Na pia kule Mbagala kwenda mbele zaidi mpaka Kisarawe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…