Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You do realize Swahili originated in Kenya right?
Yes it did but it corporates foreign Arabic words… the word Swahili itself is Arabic in nature… my point is, its not fully African per se ….as some Bongolalas here sometimes claim ..
 
We nani kakudanganya kiswahili ni foreign language!??
Huu upupu umeusoma wapi!?
Mbona Oman hawajui kiswahili kama ni lugha kutoka kwao?
Do you really wanna go there?.. even the word “Swahili” is not African … prove me wrong…
 
Do you really wanna go there?.. even the word “Swahili” is not African … prove me wrong…
Mbwa nyie mkishindwa mnatafuta excuse eti kiarabu. Mkiona kinasifiwa mnajikuta eti chenu.

Hebu Tupishe uongo wenu unawaumbua tu. Kiswahili is Tanzania Language na ni lugha yetu. Apart Tanzania nani mwingine anajua kiswahili sanifu kuzidi Tanzania?

Kuanzia Muziki, Fasihi (Literature), Utamaduni, utafiti na kukikuza, most native speakers, vyote vipo Tanzania alafu unawashwa eti kimetoka Kenya mpo mnastruggle.

Kila lugha inatohoa maneno toka lugha nyingine kiarabu ni 20% kwenye kiswahili, Mostly ni Bantu, unaufahamu hata kiswahili kina maneno yaliyotoholewa kwenye Kireno, Kiajemi, Kihindi, Kiingereza, kijerumani.

KISWAHILI NI KIBANTU FULL STOP. Unless hujui hata lugha ni nini?

Kutohoa maneno hakufanyi iwe lugha nyingine, nionyeshe lugha ambayo haijawahi tohoa maneno kwa lugha nyingine.
 
Do you really wanna go there?.. even the word “Swahili” is not African … prove me wrong…
Unajua maana ya utohoaji!?
Swahili limetoholewa kutoka katika lugha ya kiarabu msamiati 'sawaahiliyyah' maana yake watu wa pwani.
Neno likishatoholewa na kuingizwa kwenye lugha nyingine ndio linakua ni la lugha mpya.
Zaidi ya asilimia 70 ya lugha ya kiswahili ni misamiati ya kibantu.
Sasa inakuaje ni kiarabu!?
 
Tunatengeneza airport city pale msalato Dodoma, Tanzania sio Kenya mzee kila ktu Nairobi, angalia Dodoma hii na hapo sio msalato ni old airport 👇👇😘😘😍😍🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥

View: https://youtu.be/94GFa6WuwuY?si=1nJLH364j8bpK0No
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…