Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Let me educate you Bongolalas … Ruto was just playing psychology with back home politics…. It’s called cutting your nose to spite your face ( Google that)….He was sending the message to Kenyans especially Gen. Z whom he feels are sabotaging his political vision for Kenya’s prosperity…. At least that’s what he thinks…. And that’s why he used the words … “it is what it is”… You usually use such term to emphasize an effect of frustration…… I hope I have educated you….🤣🤣🤣
 
🔨🔨🔨🔨😁😁😁😁😁 Unaumia au? Takwimu hizo zipo siku nyingi na wewe unajua.
 
Unajifariji tu. Subiri mazishi mengine ukafanye fujo😁
 
Kizungu Mingi while statistics zinasema vinginevyo. 😂😂😂 ukishindwa kaa tulia wewe muendesha truck huko US.
 
Majiran wamesikia maumivu hadi kwenye minduku yao
Nini umegundua kwenye hizi comments za Wakenya?

Mimi: kinacho wauma sio kupitwa na Tanzania, hili wanalijua vyema na wanaweza cheza nalo kwa uongo wa takwimu fake. Kinacho wauma ni kiongozi wa juu kukubali hili hadharani hivyo hawana tena nafasi ya kupinga hili na vitakwimu uchwara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…