The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
And the truth is Tanzania must be ahead of Kenya in almost every aspect.Because we damn know we are not behind Kenya….so we won’t listen to any statistics until they reveal the truth.
Hii haitabadili ukweli kwamba hamna uwezo wa ku fund miradi midogo tu kama stadium. Kenya ni mavi.Mwambie Mchina aje kuubeba aupeleke China basi.
The only real thing you might be just slightly ahead of Kenya in football is your premier league organization… that’s it!… otherwise, we are technically superior based on head to head match ups up to current … FIFA knows that …😄… it’s a matter of time before the rankings are reversed…then you go back to crying again 😂😂Because we damn know we are not behind Kenya….so we won’t listen to any statistics until they reveal the truth.
Basi watu wa kajiado limeni nanyi mproduce best wine...nyinyi ni wavivu tuAcha ufala ,Dodoma si jangwa.
It is like kajiado,laikipia counties
Iyo kawaida, hata Brazil akikutana na Mexico mara nyingi huwa anafungwa, just because mexico anakamia mechi, hiyo haiondoi ukweli kwamba Brazil ni bora kuliko mexico ni kama nyinyi na sisi.The only real thing you might be just slightly ahead of Kenya in football is your premier league organization… that’s it!… otherwise, we are technically superior based on head to head match ups up to current … FIFA knows that …😄… it’s a matter of time before the rankings are reversed…then you go back to crying again 😂😂
With zero investment ?The only real thing you might be just slightly ahead of Kenya in football is your premier league organization… that’s it!… otherwise, we are technically superior based on head to head match ups up to current … FIFA knows that …😄… it’s a matter of time before the rankings are reversed…then you go back to crying again 😂😂
Sikubisha kiongozi bali nilisema point.yuko wapi Kosugi nilikuwa namuambia kila siku Tanzania is ahead of Kenya in football wise akawa anabisha.
Musahau kuhusu hilo TZ inazidi kusonga mbele day by day.The only real thing you might be just slightly ahead of Kenya in football is your premier league organization… that’s it!… otherwise, we are technically superior based on head to head match ups up to current … FIFA knows that …😄… it’s a matter of time before the rankings are reversed…then you go back to crying again 😂😂
Hakuna nchi hapa.Demokrasia at work 😂😂😂👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DC8TbCXt0J6/?igsh=MTF3MDFtdnNzc2NzYg==
Namtakia kila la heri Ruto, ashikilie hapo hapo na uchaguzi unaofuata anashinda tena, na kabla ya uchaguzi ujao ahakikishe katiba inabadilishwa akae miaka mitano sio minne.
Fifa kawabeba kashidwa, kawaacha wajibebe wenyewe 🤣🤣Hahahahahaaaaaaaaa tuliwaambia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aawapii utopolo huwa mdomo mwingii na kujipendekeza kwa mama na chama tawala!yanga ingeshinda ungeskia ni kwa nguvu za rais hehehehe 😂😂😂😂😂
ila imefungwa husikii wakisema nguvu za mama anaupiga mwingi ChoiceVariable