Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kulikuwa na sababu za msingi za kukwepa gharama ambazo zilitakiwa kubebwa na Total,Kwa Sgr gharama za fidia zitabebwa na Serikali ya Kenya huoni huo utofauti?

Vita baridi haviwezi kuisha maana tunashindana Kwa sababu tuna offer bidhaa na Huduma zinazofanana so maisha yatakuwa ni ya kugawana keki.
 
wewe huna ulijualo kazi yako nikuokota chochote tu google ukilete hapa ujione unaakili 😂😂😂😂

kabla hujaleta taarifa jiridhishe kwanza hakikisha maneno yako
Wewe mbulula,nimekuoa taarifa rasmi kutoka financial Times ikimnukuu Waziri wa Uganda huko COP juzi wewe unaongea upuuzi wa kichwani kwako 😂😂
 
Unajua usafiri cheapest duniani ni meli. Hizo kilometers from mwanza to Uganda kwa meli utasave hela nyingi kuliko ungepeleka train from Isaka to Uganda au from Malaba to Uganda..
 
sio kuparuarana sasa hvi hakuna ushawishi wala uwajibikaji kila mtu anajiendea tu 😂😂😂😂
Kila mtu anajiendea wapi? Ushawishi wa kitu gani? 😂😂

Yaani Serikali iache kuweka priority yake Kupeleka Sgr DRC/Burundi ianze kulazimisha Uganda?

Uwe unatumia akili,unatakiwa ku consolidate kule ambako una absolute/Comparative advantage harafu ndio uje huko Kwa kugombeana.
 
Juzi nimepita pale Tanzanite Bridge, vyuma vya kingo za baharini zimenyofolewa si mchezo, imebidi wafunge kamba na ishara za hatari, sasa lile daraja lina camera, inawezekanaje mtu anakuja ananyofoa vyuma anasepa na hakuna mtu kakamatwa? Zile camera za kazi gani pale? Au mpaka mtu apandikize bomu pale ndio tustuke? Hili na hili la treni linatia hasira sana.
 
Usipotoshe ukweli hatujawahi kushindana kujenga sgr to bukoba and Uganda mipango hiyo haipo kwa sasa labda baadae. Ndio maana phase 2 ni Tabora kigoma Burundi DRC na si vinginevyo nactukitoka hapo tumaenda mtwara mbamba Bay before tuanze kufikiria kujenga kwenda Uganda. Na hata hivyo tutapima umuhimu wa kujenga sgr to Uganda through bukoba kwanza ama Tanga port to Musoma.
 
Hapo Waziri awashughulikie wahusika na hiyo njia wakubwa wanapiga hakuna anaejali ,Bongo bwana wakati mwingine bila bakora ni kama watu hawaendi 😆😆😆😆

Kuna wakati hii Nchi na watu wake hawahitaji kuendeshwa kistaarabu maana hawana na Wala hawajaifikia Hali ya kistaarabu.

Tunahitaji Dikteta mwenye maono ya kibiashara the likes of M7, sio Dikteta mwenye mtizamo wa kijamaa kama tulikotoka.
 
Inaelekea hujasoma technical report ya TOTAL kwenye huu mradi kuhusu kupitisha bomba kenya or Tanzania
 
Jamaa limekomaa weeee eti ushawishi ushawishi,wa kipi? Hiyo plan ndio nimesikia kwake Leo.

Naendelea kutetea hoja yangu,Nchi ya kui target na kufikia by any means ni DRC sio tuu Kwa Central Corridor Bali Kwa Tazara.

Tujenge reli kutoka Makambako -Mtwara Port
 
I think una over exaggerate mambo ili tu hoja yako ipate mashiko, hii wanafalsafa wanaita ni falacy of hasty generalization.
 
Kuna ujinga mwingi kwenye kutunza miundombinu hii nchi.
 
Ha ha ha sio hivyo. Zile ni barrier zilizogongwa wanazibadili. Wameondoa zilizopinda wanasubiri kuweka mpya. Pia njia ya watembea kwa miguu kingo zake baadhi zimeliwa na kutu wameziondoa wanaleta nyingine. Kawaida kazi za serikali ziko slow,
 
Walianza Daraja la TANZANITE kunyofoa vyuma like seriously.
Hizi zilikuwa propaganda za polisi tu, hakuna mtu alieng'oa vyuma pale. Wale wajemzi walikuwa wana dismantle ile temporary bridge baada ya ujenzi kukamilika. Vyuma vingi vya temp bridge vilidondokea baharini ndio wale vijana waokota makopo na vyma chakavu wakawa wanasubiri amji yakiondoka wanaingia baharini wanaokota vile vyuma. Polisi kutafuta sifa ndio kusema wamekamata watu wanang'oa vyuma vya daraja.
 
Ha ha ha sio hivyo. Zile ni barrier zilizogongwa wanazibadili. Wameondoa zilizopinda wanasubiri kuweka mpya. Pia njia ya watembea kwa miguu kingo zake baadhi zimeliwa na kutu wameziondoa wanaleta nyingine. Kawaida kazi za serikali ziko slow,
Kama kweli zile kingo zimeondolewa sababu ya kutu basi ni jambo jema, my first impression ni kwamba zimeibiwa, I was devastated nilipoona vile. Zile kingo za magari kugongwa na kuachwa nalo ni jambo jingine, wanaogonga miundombinu mara nyingi sana wanapigwa fine na TANROADS ukiacha kesi ya traffic, hizo fines huwa ni estimation ya damage husika, sasa huwa sielewi ugumu wa replacement huwa unatoka wapi wakati damage ishalipiwa.
 
Ametembea Kenya a couple of times akaona uhalisia wa vitu. Nyinyi ambao bado hamjatembea ndio mnaendelea kupiga kelele eti ooh njaa, sijui ukabila sijui nini.
Wapi ichoboy01 kaongelea Kenya, mbn unajifanya unamvuta kisela ili awe wenu, huyo hajaanza kuja leo wala jana huko kwenu na ameanika uozo kibao, labda kwasabu unamuogopa so unafurahia kuona siku hizi hawapondi bali kageukia Tanzania, kwa taarifa yako hiyo ilishatabiriwa tukimalizana na nyie tutageukiana wenyewe kwa wenyewe, na wala huo si utabiri bali ni principle, ilikuwa lazima itokee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…