Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siku zote huwa nasema takwimu za caf siziamini, Afcon ya tatu hii Tanzania inafuzu alafu haya ******* hayafuzu wala nn eti bado takwimu uchwara zinawaweka juu yetu, nafikiri now wakenya watakubaliana na mm kwamba tupo juu yao kisoka.
Mnafuzu lakini hakuna games mnashinda huko, tofauti ya Tanzania na Somalia kwa AFCON ni zero. Siku mtashinda game AFCON mojo tuongee๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Alafu watakuambia wako sawa na Tanzania kwenye soka kisa vi takwimu uchwara. Ladies and Gentlemen the football nation to Afcon again ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Ajabu sana iliyopita UGANDA hakwenda by Rank yupo juu, Zambia tumepiga by Rank Yuko juu, still eti hatusogei kuna wajinga wanakula bakora daily.

Hapo guinea yupo 78 bado utashangaa eti hatusogei wakati tumekung'uta Zambia Away, Guinea nje ndani na tumefuzu.
 
After kufuzu mtafanya nini huko? Ama unasahau Tanzania haijaisha Sa any game ya AFCON? Hao wote wenye unataja have won so many games.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ