ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,481
- 89,898
Gorofa za 5 floors kila mahali.
Sio muda nimetoka kuongelea hili suala, wakenya wana njaa sana.
Nilisema leo. Kenya ni nchi ya kimavi sn.Majiran mda wote wananuka mavi na wananuka njaa pia
Kenyan SGR still remains to be the only SGR will double stacking capabilities in Africa.
Hizi ni propaganda za wapuuzi mkuu, jana nilikua hapo, kimsingi serikali imefanya wajibu wake, baadhi ya barabara zilifungwa kabisa katika kutekeleza hilo. ๐๐พakili gani wanayotumie ikiwa escavators and wheeloader zinakuja over 15 hrs baada ya tukio alaf tunaongea nn hapa
View: https://x.com/_itsmalume/status/1857895079651979399?s=46
Construction boom ya buildings tatu mkuu.?
ukisema ligi za kitoto unakua na maana gani mzee??Chief umebadilika sana.. Achana na ligi za kitoto.
Mtandaoni mambo ni mengi usiokote Yote. Greda zilifika mapema na dumper trucks za kutosha. Ila ile go ahead ya kuanza kazi ndio ilichelewa.
Na Greda zilifika mapema maana kuna zilizokuwa jirani tu za mkandarasi wa SGR Yapi Merkezi. Ndio Gredaza za kwanza kufika eneo la tukio saa 3 zilifika 2.
Halafu ujue kuendesha excavator kwa mjini kama iko mbali ni changamoto... Speed hakuna mule.. Plus watu walijaa kushangaa shangaa hivyo movement haikuwa rahisi. Bongo elimu ya majanga bado sana.
Ghorofa imeanguka ila bado watu wana panda maghorofa ya jirani ili kushangaa na kupiga chini. Bila kufikiri athari na usalama wa majengo ya jirani.
Wewe fukara wa kuvaa rugs naona umerudi.Construction boom ya buildings tatu mkuu.?
Kama hamjengi manyumba za 17 floors huko usiniletee ujinga wako hapa.
hakuna shida mkuu tuendelee kushangilia tuHizi ni propaganda za wapuuzi mkuu, jana nilikua hapo, kimsingi serikali imefanya wajibu wake, baadhi ya barabara zilifungwa kabisa katika kutekeleza hilo. ๐๐พView attachment 3154857hii ilikua ni saa 12 jioni, hapo watu walikua wanafukuzwa wasipite kwenye hii barabara ya msimbazi hadi junction ya Uhuru Wanajeshi walikua wengi mno.