ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,557
- 90,003
Naona mambo yanaendelea ila kuna kitu najiuliza hivi ni kweli tumeshindwa kulaza cable za umeme sambamba na huu mradi hata katikati ya mji tu, maana niliona project ya majaribio kule mgulani karibu na Jitegemee pia ifike wakati pikipiki na bajaj katikati ya mji nope
No matter what hatuwezi kuwa na mitazamo sawa sawa kifo cha magufuli mpaka leo kuna watu mnashangilia mbona hatukuwauliza kama nyie wazazi wenu wameshakufaWazazi wako wameshakufa?
Maumivu kwa wakunya,wangepatq train kama hii kile kipori chao wangekiita capital of world
Mi kitu nashangaa tar inatokana na crude oil inakuwaje South Sudan wawe na barabara Mbovu na wana oil?Hii mbinu ndio tuitumie kuunganisha Africa, Ethiopia na Uganda wameweza ππ
View: https://youtu.be/VmFzdBi2VP0?si=E96S1LuH4s6iWCaO
Ndio wameamua kuwapa Mafuta Ethiopia wawajengee barabaraMi kitu nashangaa tar inatokana na crude oil inakuwaje South Sudan wawe na barabara Mboni na wana oil?
kwan kwa serekali hii kipi kinashindikana πUzushi,kama serikali itanunua basi ni katika utaratibu wa Sasa na sio kumnunulia Mwekezaji
kukamilisha sio kuanza mradi mzee, kukamilisha maana yake unakamilisha tayari ππππ hio ikulu ya dodoma ilikua over 60 to 70%, magufuli city same also over 50%, bwawa la nyerere same also over 30 to 40% au nasema uongo
View: https://x.com/Aduiwayanga/status/1855491219641573413?t=QHPiuki7hqp0a7KSUd7w6Q&s=19cc ichoboy01 Mzee wa Trilioni 50 ππ
nani anasimamia mradi? nani alaumiwe ? nani mwenye uchungu na mradi huu??
kaka sasa hvi ni upigaji na hvi pesa ziko nje nje hazina msimamizi watu wanapiga pesa wanewaekea alimradi liende alaf sisi tuendelee kushangilia πππππingawaje wamejitahidi lkn kwa maoni yangu bado hawajafikia quality ya vituo vya br. A.H. Mwinyi kutokea moroko mpaka kituo cha red cross, vile vituo vya hiyo br. kila nikiviangalia huwa nastaajabu sana kwa kazi nzuri iliyopigwa pale sijui ni nani alivijenga, vinaweza vikadumu hata miaka 50 ijayo labda kubadilisha paa tu, na ni vikubwa haswa watu wengi tu wanaweza kutoshea β¦
watajenga vp wakat marekani anapeleka vita kwao kila baada ya dakikaMi kitu nashangaa tar inatokana na crude oil inakuwaje South Sudan wawe na barabara Mboni na wana oil?
ππππππ acha watu wapige pesa sisi tuendelee kushangilia tuYaliyinunuliwa mwaka jana na mwaka juzi yalienda wapi?