Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

80% of Tanzanians are poor with 56% living in extreme poverty πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kaka hii utaambiwa ni chawa , wengi wetu hatufuatlii kinachoendelea ila tuna Ile kasumba kuwa ni mwanamke, utagombana na wengi sana.
Watu wajaribu kufuatilia hata kwenye elimu tu idadi ya shule mpya na maboresho yameyofanyika kwa miaka 3 tu hii kabla ya ku argue, issue ukielekeza unaambulia matus
 
Mind you Kuna currency fluctuation ukiweka 20 mil letsay kwa miaka 10 utakuja kupata hiyohiyo mil 10 no matter the value of shilling at that moment.
Njoo tukufunze ujasalimali
Kama kawaida yako you are low IQ. Do you know how compounding frequency works?

20M invested for 10yrs will give you 121M at the end of 10yrs.


 
Pole sana kijana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ndio maana nasema huna maarifa ya maisha.
Nenda kasome how livestock trading hata small scale inavyokutajirisha.
Endelea kuwa na mawazo mgando.
Unasema aendelee kuwa na mawazo ya kudanganya anaumwa ili apewe off 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Unasema aendelee kuwa na mawazo ya kudanganya anaumwa ili apewe off 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Watchman wewe hufai kuongea penye watu wanongea, Kosugi is Clinical officer, I’m a Microbiologist. What are you? Ngoja tukianza kuongelea mambo ya kubeba rungu na kumulika torch tutakuita uchangieπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Kwani we zumburu ushaifanya biashara yoyote.? πŸ˜‚πŸ˜‚

Ngoja nikutoe tongo tongo, umeona hiyo 50 million .? Ukiiweka bonds ni kujinyima hela, haiwezi zalisha more,

Chukua hii, hiyo nusu ya hiyo pesa 25 million ingia zako Kondoa dodoma, Babati Manyara, Handeni Tanga na g, chukua mbuzi zako kwa mbuzi mmoja mwenye thamaji ya elfu 70 tu au 80k ( ushalipia vibali vya kumnunua na kumsafirisha kila mbuzi) tia hao mbuzi kwene gari ya kubebea. 25 million kwa kila mbuzi mmoja ni sawa na mbuzi 312, shusha hao mbuzi Pugu mnadani Dar es Salaam, uza kila mbuzi mmoja 100k hadi 110k, wewe vizia faida yako iwe 20k kila mbuzi mmoja ulieuza, then njoo kwenye faida utakayotengeneza kwa hiyo siku
20k times 312 = 6,240,000/=

Sasa wewe fanya hii biashara walau kwa wiki mara mbili tu, ambapo kila wiki moja utaweza kuzalisha 12,480,000/=

Mwaka mmoja una majuma (wiki) 54, ikiwa faida yako itakuwa 12,480,000/= Tz money. Kwa mwaka itakua ni sh ngap.?

52 times 12,480,000 = ?

Let’s uliweza kufanya trip moja tu kwa wiki , hesabu itakua hivi
6,240,000 times 52 = ?

Au huko kwenu hakuna hizi fursa. .? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
I don’t take advises from poor people. Look at your house, Ona vitu unakulaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…