Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kichaa hiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Ndio maana nikasema huna maarifa ya maisha.
Mawazo yako yameishia hapo.
 
Kichaa hiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Ndio maana nikasema huna maarifa ya maisha.
Mawazo yako yameishia hapo.
Prove me wrong that after one year mwenye amewekeza kwa nguruwe will get more profit than meπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚.

Kwa mwenye a tafuta nguruwe I think after one year he/she will be running on a negative balanceπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£

 
Inaishi kwenye Fantasy World. Unadhani Watanzania wanashituka na virtual life. 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
Watanzania wanaishi Real Life

Tumekuwambia utuletee Assets za Nairobi umechimba
 
Are you not earning less than 15k per month?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
From where!?
Embu kapige gharama ya sapphire per 1 gram ni shingapi halafu per each gram mtu anapata 30% commission baada ya kuuza mzigo.
Halafu rudi hapa.
Uko achana napo njoo kwenye mifugo unayoidharau nikupe hesabu rahisi.
Biashara hii kwa sisi wazoefu huwa wanachukuliwa ng'ombe wasio na lishe mikoani kila mmoja gharama yake ni 12,000 kesh + na usafiri na kibali kila mmoja atagharimu 12500 kesh hadi afike eneo la tukio mathalan Dar.
Kumnenepesha ng'ombe huchukua wiki 5 hadi 6 yani one month and ahalf.Mie mkulima pumba na mashudu natengeneza mwenyewe hivyo gharama ya chakula nimeiepuka.
Dawa ya chanjo sio lazima sindano zipo za kuchanganya kwa maji gharama ni 3000 kesh.
Baada ya huo muda ukimuingiza ng'ombe pugu akiwa na kilo 120+ each atauzika kwa 43000-45000 kesh.
Pigia mfano wewe ni small scale umeanza na ng'ombe kumi inamaana utahitaji mtaji wa 150,000 kesh.
Ukiuza kila mmoja tuseme kwa 42000 kesh mara 10 inakua 420,000 kesh.
420,000-150,000=270,000.
Hii unaweza itengeneza kwa mwezi mmoja na nusu hadi miwili.
Tugiwa tuseme per month ume earn 135,000 kesh.
Huyu ni small scale.
Sasa chukua hela uliyoingiza huko saccos fanya multiplication.
Hapo hujaja kati sekta nyingine ambayo mtu anaamua kuchinjisha na kuuza kila end product ya ng'ombe.
Mbuzi wewe.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Aiseee mie ukinipa hiyo 50 mils per year nishai triple kuwa 150.
 
You are a quack everywhere. Hadi simple maths and reasoning hujuiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Aiseee mie ukinipa hiyo 50 mils per year nishai triple kuwa 150.
Why can’t you triple your 15k to be 45k?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Sikiliza huyu durrock takes only six months from birth mpaka anafikisha kg za kwenda sokoni.
Ukitunza nguruwe mwaka mzima kwako ni hasara only six - seven months
Ukitaka elimu ya nguruwe nitafute uelimishwe badala ya kudanganyika bonds.

Durocs don't stay like this; they're just about the fastest-growing of all the native breed pigs and can develop into excellent, pork-weight carcasses in under five months
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…