Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
Usiniletee maumivu yako ya ushamba mimi ๐๐๐ zuzu hili.Defeat gani baboon? Nazipost cause I donโt have the energy to argue with baboons like you.
View attachment 3138705
Sawa baboon.Usiniletee maumivu yako ya ushamba mimi ๐๐๐ zuzu hili.
Wacha kuniogopa, kama kweli unajiamini leta hii discussion ya usafiri wa majini na nchi kavu tuweke battle then nikuoneshe vile nyinyi level yenu ni burundi. ๐๐Sawa baboon.
View attachment 3138709
so unataka hao watalii waje na miguu au๐
View: https://www.instagram.com/p/DBuK5I7NdnG/?igsh=cWdoZ2R0NHgyeW96
My Take: Ni kwamba ATCL wanaamini safari za Kimataifa ndio pekee zitawapa faida? Domestic demand ni kubwa ila hatuoni wakichangamka.
Kabla ya hiyo routes Watalii walikuwa wanakuja na ungo wa Sumbawanga? Yaani wewe akili Yako inaishiaga mwisho wa macho Yako kuona ๐๐so unataka hao watalii waje na miguu au๐
yani wewe akili yako
Wewe uelewa wako ni Mdogo sana nina uhakika hata diploma huna! Na kama ulifika form six basi kwa kudra za mwenyezi Mungu! Hiyo My Take Achia wanaojielewa sio kuigaiga!
View: https://www.instagram.com/p/DBuK5I7NdnG/?igsh=cWdoZ2R0NHgyeW96
My Take: Ni kwamba ATCL wanaamini safari za Kimataifa ndio pekee zitawapa faida? Domestic demand ni kubwa ila hatuoni wakichangamka.
My Take: Nimegundua huna akili Wala hoja ,unakurupuka.Wewe uelewa wako ni Mdogo sana nina uhakika hata diploma huna! Na kama ulifika form six basi kwa kudra za mwenyezi Mungu! Hiyo My Take Achia wanaojielewa sio kuigaiga!
Ulikuwa huitumii unaiga kitu hata hujui maana yake! Na maana yake si nimegundua!My Take: Nimegundua huna akili Wala hoja ,unakurupuka.
Acha atcl ijitanue kwa kwenda nje, maana kwa central corridor ni kama anaenda kupungukiwa wateja hasa kutokana na ujio wa sgr ma sehem zote imekuwa hivyo, treni imekuwa ikipelekea muyumbo kwenye mabasi na ndege kwa hivyo ni vyema kujiandaa mapema.
View: https://www.instagram.com/p/DBuK5I7NdnG/?igsh=cWdoZ2R0NHgyeW96
My Take: Ni kwamba ATCL wanaamini safari za Kimataifa ndio pekee zitawapa faida? Domestic demand ni kubwa ila hatuoni wakichangamka.
Mbona domestic wamecover kila kona?