ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,518
- 89,960
MwanzaSaw this today in Ruiru. Last time I passed here there was no mall. Kenya is the capital of malls in Africa. Only South Africa have something on us.
View attachment 3126806View attachment 3126807
Kuna aliyeona "ELECTRIC VEHICLE" "MAKOPOLO ZA AVA"?Halafu ukiwaona akina nairobae na Teargas au kennedy0000 wanavyojisifia utafikiri wanaishi ahera ha ha ha😎😎
View: https://m.youtube.com/watch?v=Sszzk1F5eGE
Lile soko lilipo pale.. i mean hili.Mwanza
View: https://www.instagram.com/p/DBMGmTgtYnI/?igsh=eWtjcWI4ZTF2dXB2
Kirumba Market 👇👇View attachment 3126859View attachment 3126860
Mkuyuni Fish market 👇👇
View attachment 3126861
View attachment 3126862View attachment 3126863
Hii ndio kisumu village center.? 😂😂Beautiful Kisumu sunset.
WanavunjaLile soko lilipo pale.. i mean hili.View attachment 3126884linavunjwa then soko hili kwenye renda linajengwa sehemu nyingine.?
Tunajua ulikua umengoja kuona uswazi kama dar is a slum lakini umekosa. 🤣 🤣 🤣
View: https://youtu.be/3ftAR69lt5U?si=Gup3yWv851Xsrko7Kweli Nairobi choka mbaya hivi usafi ni zero kabisa
Ila mbona pale barabara za lami si ipo na ni mpya tu, au hizo kilomita mbili wanazijengea kuelekea wapi.?Wanavunja
Kwani hujui kuwa kuna vitongoji vya Mathare etc hapo Nairobi?Tunajua ulikua umengoja kuona uswazi kama dar is a slum lakini umekosa. 🤣 🤣 🤣
Munazipenda sana, hizo ndio eneo zinafanana na dar is a slum. 🤣🤣Kwani hujui kuwa kuna vitongoji vya Mathare etc hapo Nairobi?
I heard that you are dead, is it true?
Hilo halina ubishi tafadhali kuwa mpole tu😎😎Munazipenda sana, hizo ndio eneo zinafanana na dar is a slum. 🤣🤣