Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tangu waunganishe hazijanunuliwa hata mojaπŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna project zingine za kutunisha misuli ila hazina faida. Yani mnaimport mabasi kutoka China ila badala ya kutengeneza assembly ya mabasi mnatengeneza ya ndege. Nani anunue ndege hapo Vumbistan wakati wanahire helicopters kutoka Kenya?🀣🀣
 
Ni majinga haya desert tourism ndio nchi nyingi za kiarabu zinafanya na kupata hela nyingi. Yalivyogundua Mafuta yakaacha hata kufanya exploration yakamunyima Tallow extension licence Aridhi yote yamemuuzia mzungu.
 
Gap ni kubwa mno na wakundustan wasivyo na akili wanajivunia kigari kimoja cha ev chenye capacity ya watu 20 yanasahau Tanzania ina electric trains inayobeba watu almost 10000 kwa siku
Duh..!! gap ni kubwa balaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kimsingi hawa ******* wako na zaidi ya miaka 100 kufika tulipo.
 
Duh..!! gap ni kubwa balaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kimsingi hawa ******* wako na zaidi ya miaka 100 kufika tulipo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Yamekaa yanapayuka kuhusu gari 5 zinazobeba watu hata 50 hawafiki wakati Tanzania kwenye electric mobility tunabeba watu almost 10k kwa siku tena kwa hundreds of kilometers πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huoni hata slums za Kenya zinajengwa in a straight line, bongoslum mukijenga in a straight line mutakufa ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…