chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,741
- 46,082
wewe msukuma mkokoteni unaongea nini kuhusu magari?Umekasirika sasa?πππ€£.
For us tunaweza kukuonyesha these electric vehicles, wewe hata huwezinionyesha hata kumi from Vumbistanπππ€£ππ
View attachment 3119951View attachment 3119952
Nakuuliza sasa, UN wanasema tuna EVs zaidi ya 5k wakati msukuma mkokoteni anasema mna 3k, uamuzi ni wako π€£π€£π€£Mbona hamko top 3 in Africa? That should tell you that there are no electric vehicles in Tanzaniaπππ€£ππ
Endelea kukwamilia umbea za Chanzo.wewe msukuma mkokoteni unaongea nini kuhusu magari?
View attachment 3119954
Ambieni Chanzo wawaweke top 3 basi in AfricaππππππNakuuliza sasa, UN wanasema tuna EVs zaidi ya 5k wakati msukuma mkokoteni anasema mna 3k, uamuzi ni wako π€£π€£π€£
View attachment 3119958
Githeri media wenyewe wamesema ukweli ni less than 3k π€£π€£π€£Endelea kukwamilia umbea za Chanzo.
Africa ranking Tanzania is not found anywhereπππππ
View attachment 3119959View attachment 3119960
Nope UN ndio wameweka, githeri media ikafake sababu najua ni less than 3kAmbieni Chanzo wawaweke top 3 basi in Africaππππππ
View attachment 3119961View attachment 3119962
Kunyaland haijawahi kuipita Tanzania kwenye anything vehicles related πππ cry harder
Unaumia ukiwa wapi?Nope UN ndio wameweka, githeri media ikafake sababu najua ni less than 3k View attachment 3119966View attachment 3119967
So many wapi every street video ni fuso za kuchonga, ngaya, mikebe ya nyundo, or mikebe yenye chimney juu.The electric buses are currently so many in Kenya.
Hizi zote ni electric buses built right in Kenya at KVM, Thika.
View attachment 3118906
Umeona plate number zake, miaka ya hizo ndio tulikua tunatumia Chai Maharage ambazo kwenu nowdays ni dhahabu.Baboon Hiyo ni picha ya this month ππ
View: https://x.com/TBoundBuses/status/1842604500835824015
You donβt have any electric bus in Tanzania nyamazaπππSo many wapi every street video ni fuso za kuchonga, ngaya, mikebe ya nyundo, or mikebe yenye chimney juu.
As long as the bus is operating number plate doesnβt matter ππ.Umeona plate number zake
Anazingua hajui hizo gari wanazoringia ndizo zinatumika maporini.Hizi ni gari za chaka to chaka usidhani wewe ndio umezigundua πππ they are so many.
Wenzako wanaonea Kenya wivu wewe uko hapa umekataa kurudi Yemenπππ€£π€£