Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

That’s why I told him his understanding is poorer than a class 1 kid😂
 
Assemble ngombe wewe na sio made mnafikiri kuunda hio engine ni kama kula githurai si ndio.
 
Assemble ngombe wewe na sio made mnafikiri kuunda hio engine ni kama kula githurai si ndio.
Tangu lini master imegeuka na kuwa assembler? In Kenya we only have one Assembler AVA, KVM is a mixture of both assembling and Fabricating.

Master is purely making of bodies from scratch. Nishakuambia ukweli so ukipenda unaezalia😂😂
 
Mpo very desperate sana, hiyo ndio source yako ukiombwa credible source huna unaishia ngojera.
Source gani unataka? Tomato ama Chilly?

Everybody knows that Magufuli was admitted in Nairobi Hospital, ni tu some few low IQ hapa JF ndio bado wanapingana na ukweli😂😂🤣😂
 
Time is ripe for ATCL freighter to have a field day at JKIA😁
 
Yeye kwa ukosefu wa exposure anadhani watu wote humu wapo kibera, kwamba ni usiku🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe watchman fala tangu tugundue wewe ni watchman una makasiriko sana😂😂🤣😂.

Yani hutaki hata tutaje jina la usiku😂😂
 
Mpuuze huyo ndio maana mimi nilimpuuzia sikumuuliza maana najua hana source ni ngonjera tuu
Yani watanzania wote in this forum are low IQ?😂😂🤣
Convert that amount into dollars utuambie ni pesa ngapi. Tunajua Mathematics is not your strong suite lakini jaribu tu😂😂
 
English yako mbovu Source sio sawa na sauce sasa tomato na chilly zimetoka wapi hapa?
Wewe hukuanga mjinga kila siku and everybody knows it.

Have you heard of something called homophones? I know you haven’t, your IQ can’t allow you yo such things😂😂.

Source and Sauce sound the same so I’m the word who decide what to do with the sound, sio wewe jinga hii.
 
Tangu lini master imegeuka na kuwa assembler? In Kenya we only have one Assembler AVA, KVM is a mixture of both assembling and Fabricating.

Master is purely making of bodies from scratch. Nishakuambia ukweli so ukipenda unaezalia😂😂
we ni kunduweller kweli yaani muagize spair part nje mmje kuungia hapo muwe sawa na manufacture sijui hizo akili mmeshikiwa na mama ngina
 
Sasa tatizo lako ni nini? Kuna project yoyote huko Kenya? Maana siku hizi mnapiga porojo tu. Tupe progress ya SGR yenu.
Sgr yetu inachapa kazi leo mwaka wa saba. Yenu bado inakatiwa na umeme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…